Offer offer offer ya Valentine

Offer offer offer ya Valentine

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Natoa offer ya kuwatoa out mabinti wa humu waliopo Dodoma kufurahia Valentine nami leo baada ya saa za kazi, unaweza kuja na rafiki yako au mwenyewe sina lengo lolote la ziada zaidi ya kupiga story na kuachana baada ya time ya kulala ukiona imefika.

Kumbuka kesho ni siku ya kazi pia kama hujiamini unaweza kuja na backup yako ya jinsia yoyote.

Karibuni sana.

NB: Usije na ID mpya
 
Natoa offer ya kuwatoa out mabinti wa humu waliopo Dodoma kufurahia Valentine nami leo baada ya saa za kazi unaweza kuja na rafiki yako au mwenyewe sina lengo zaidi ya kupiga story na kuachana baada ya time ya kulala ukiona imefika kumbuka Kesho ni siku ya kazi pia kama hujiamiani unaweza kuja na backup yako wa jinsia yoyote.

Karibuni sana

NB: Usije na ID mpya

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]NB
 
Back
Top Bottom