Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii process inachukuwa muda gani kama upo dar es salaam?Laki 300,000/= tu ila gharama ya kibali utalipia mwenyewe kwa maana ile ya serikali,,sisi tunafatilia tunakutumia control number unalipa ..
alright mkuu, ofisi zenu zipo wapi?Kuandaa ramani ni siku 5 na ufatiliaji kibari paka kitoke ni wiki 2 paka kitoke...kwa hiyo kazi zote ni wiki 3 tu..
Unaweza tutembelea kwenye kurasa wetu wa instagram link hiyo hapo ..Kazi nzuri...
instagram.com
Karibu kwa huduma zifuatazo:
1.Ramani za nyumba(kuanzia 250,000/=).
2. Makadirio ya gharama za ujenzi(B.O.Q)
3. ufatiliaji wa Vibari vya ujenzi
4. Ujenzi na usimamizi.
Karibu nikuhudumie...
Wasiliana na mimi kwa 0712006246/0687732666
View attachment 2116999View attachment 2117000
plani mbona iko tafauti na picha ya nyumbaKaribu kwa huduma zifuatazo:
1.Ramani za nyumba(kuanzia 250,000/=).
2. Makadirio ya gharama za ujenzi(B.O.Q)
3. ufatiliaji wa Vibari vya ujenzi
4. Ujenzi na usimamizi.
Karibu nikuhudumie...
Wasiliana na mimi kwa 0712006246/0687732666
View attachment 2116999View attachment 2117000