INAUZWA Offer! Ramani na Huduma za ujenzi

INAUZWA Offer! Ramani na Huduma za ujenzi

KEBPN

Member
Joined
Sep 2, 2015
Posts
43
Reaction score
53
Karibu kwa huduma zifuatazo:
1.Ramani za nyumba(kuanzia 250,000/=).
2. Makadirio ya gharama za ujenzi(B.O.Q)
3. ufatiliaji wa Vibari vya ujenzi
4. Ujenzi na usimamizi.

Karibu nikuhudumie...
Wasiliana na mimi kwa 0712006246/0687732666


J2.jpg
sample1.JPG
 
Ramani ya vyumba viwili na kufuatilia kibali cha ujenzi roughly inaweza gharimu kiasi gani
 
ramani ya vyumba viwili na kufuatilia kibali cha ujenzi roughly inaweza gharimu kiasi gani
Laki 300,000/= tu ila gharama ya kibali utalipia mwenyewe kwa maana ile ya serikali,,sisi tunafatilia tunakutumia control number unalipa ..
 
Laki 300,000/= tu ila gharama ya kibali utalipia mwenyewe kwa maana ile ya serikali,,sisi tunafatilia tunakutumia control number unalipa ..
hii process inachukuwa muda gani kama upo dar es salaam?
 
Nikiwa na raman yngu..nikahitaj kukadiliwa upande wa kupaua..huduma hyo kwenu ni kias gan
 
Safi sana.

Tafadhali tuwasiliane tuone namna ya kushirikiana, tuna wateja wengi sana wanaohitaji huduma mnazotoa.

Sisi tunaitwa Abraar Bricks Nyumba kwa wote. Ni waundaji wa vifaa vya ujenzi vya aina ya kipekee kwa sasa. Tuwasiliane, naitwa Abdul Ghafur Whatsapp 0625249605.
 
Back
Top Bottom