House4Rent Office Inapangishwa

House4Rent Office Inapangishwa

stewie

Senior Member
Joined
Sep 30, 2019
Posts
118
Reaction score
281
Ni office spacious, kuna partition mbili
Kuna choo kimoja ndani
Madirisha makubwa
Parking nje ipo ya kuweka gari
Location ni nyumba za Nhc opposite na Dar free Market
Kodi ni laki nne na nusu kwa mwezi (malipo kuanzia miezi sita)
Hakuna udalali wala service charge,
ukiwa interested nicheki uonyeshwe
piga 0788038504
IMG-20200321-WA0010.jpeg
IMG-20200321-WA0011.jpeg
IMG-20200321-WA0012.jpeg
IMG-20200321-WA0013.jpeg
IMG-20200321-WA0014.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Opposite na Dar free market kuna nyumba za NHC?
 
mkuu kwahiyo ningeyaitaje? Yamejengwa na NHC nimesema hivyo ili iwe rahisi watu kuelewa, nafahamu wameuzia watu ila still zimezoeleka kuitwa hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayajajengwa na NHC yalikuwa ya serikali chini ya TBA in fact ya mkoloni hayo ikapewa serikali. Ungeeleweka ukisema ya 'serikali' ukisema NHC utapoteza watu.
 
Back
Top Bottom