Office ya ku share- dar-es-salaam

Office ya ku share- dar-es-salaam

newmzalendo

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2009
Posts
1,385
Reaction score
568
NATafuta office ya kushare,on part time basis,
ninahitaji mahala pa kufanya kazi zangu binafsi,hasa weekend and evenings,just a desk to work on,nyumbani distractions nyingi,mimi ni muajiriwa so i cant do it from my day job office.
pawe na:
-internet connection,ttcl broadband,(ntaweka kama kuna ttcl land line)
-mtu wa kupokea barua/contacts.
-city center area,nje kidogo ya mji can be considered
my line of bizness ni ict,web develoment,e-solutions.kwa hiyo ntaweka kaprinter kadogo.
sitarijii kuwa na wageni kuja officini.
kama una office u want to share running cost etc please get intouch
sina pesa nyingi ndo naanza.
 
sina pesa nyingi ndo naanza.​
 
Mkuu.Newmzlendo.uwe kweli ni mzalendo km Jina lako, khs office utapata.Mie nina office iko karibu na Uwanja wa Karume iko juu orofa ya saba.ina kila kitu cha mhimu ktk office, ila connection ninatumia Zantel na Sasa tel, mhudumu wa office yupo, ktk jengo hili kuna office nyingi tu za makampuni pia zipo office za TRA.panafaa kwa kazi km yako.coz hakuna bughuza kabisa.

Mie huitumia office hii kwa mda mchache sana.mda mwingi iko free kabisa. zaidi tuwasiliane kwa e-mail; mackman242001@yahoo.com
 
Yah kikazi zaidi, saka mahela! Kila la kheri, hapa jamvini haliharibiki neno!
 
Mkuu.Newmzlendo.uwe kweli ni mzalendo km Jina lako, khs office utapata.Mie nina office iko karibu na Uwanja wa Karume iko juu orofa ya saba.ina kila kitu cha mhimu ktk office, ila connection ninatumia Zantel na Sasa tel, mhudumu wa office yupo, ktk jengo hili kuna office nyingi tu za makampuni pia zipo office za TRA.panafaa kwa kazi km yako.coz hakuna bughuza kabisa.

Mie huitumia office hii kwa mda mchache sana.mda mwingi iko free kabisa. zaidi tuwasiliane kwa e-mail; mackman242001@yahoo.com

asante,ntakuemail
 
this is good start. i wish wabongo wengi wangekuwa na akili za namna hii, sharing . sio kila mtu anataka office yake (binafsi especially) cost kubwa, haitumii sana mwishowe ni umaskini tu. good mzalendo, good idea.
 
Back
Top Bottom