JOSEPHAT_07
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 303
- 181
Naomba msaada kwa anaejua office za kikuu zilipo kwa hapa Dar es salaam Tz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naweza kupata mawasiliano yao? Kwasababu nilisachi gugo nikaona ni hapo lakini namba zao hazipatikaniShoppers plaza mikocheni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waliacha labda kama alifanya shopping vibaya mfano simu imeandikwa i13promax inauzwa 250,000tshs yeye akakimbilia akijua ni iphone 13promax hapo lazma akutane na kitu kizito.Kabla hatujamuelekeza tumwambieni ajiandae kuwa surprised na midoli atakayokutana nayo au..?
Naelewa mkuu mtu anaweza nunua hata cover akidhani ni simu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waliacha labda kama alifanya shopping vibaya mfano simu imeandikwa i13promax inauzwa 250,000tshs yeye akakimbilia akijua ni iphone 13promax hapo lazma akutane na kitu kizito.
Mchina sio mwizi ni mjanja wa kutafuta hela ila sisi wabongo ndio hatusomi descriptions ndio maana tunapigwa sana