Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu ya 159 Africa inashiriki vipi Super League ?Yule Micky JR kawadanganya watu ,CAF wamepost rasmi. Angalieni hapa Mchezaji wa Yanga ni yupi?View attachment 2320316
Hiyo picha imepostiwa na ukurasa wa caf, ss unamwambiaje mwenzio muongo???Acha utopolo huu mtoa hoja hii, hii picha sio kwa timu zitakazo shiriki hii super ligi, angalia kushoto kwako kabisa kuna picha ya Tau na pia angalia in middle kuna mchezaji ,huyu yupo team moja na Tau,hapo kuna wachwzaji wawili wa Mamelodi Sundowns, Zwane na mwingine nimemsahau Jina ila anatoka Namibia 🇳🇦, acha uongo
Mkuu wewe ni mganga wa kienyeji?umejuaje ni mwenzangu?Hiyo picha imepostiwa na ukurasa wa caf, ss unamwambiaje mwenzio muongo???
Hatuna huo muda sisi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyie mikia kila mkaapo mnaifikiria yanga tu,na bado mtateseka sana
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Nilikua natafuta kuona Domolepe la ki bukinabe lakini wapiiiii? Bas hata katani za mayele kichwan hollaaaaaa.Wewe mleta mada acha kuwadanganya Yanga, mbona mimi nikiinama chini ya hiyo picha naona Viatu vya Mayele!!
Ila naona Viatu tu Mayele simuoni, amekingwa na bega la Chama jr
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
cocastic
Yaan picha iwekwe afu tusiwepo?? Kuwa serious wee lol.micky jnr sakata la ki aziz aliyavaa ya wana utopolo hadi walimtishia maisha , kwa leo kale ka list katengeneza mwenyewe akijua atawafurahisha na wamejaaa maana hapa nasikiliza redio clouds barbra anasema hawajui kama simba wapo au hawapo list haijatoka yule sijui kaiokota wapi na uki mchallenge unakula block fasta, muoga hatari.
angalia hapo zone yetu...most definitely ni mamelodi, pirates, kaizer chiefs,simba, al hilal, el merreikh,zesco, zanaco
Ila hili suala lina utata usije shangaa list ikatoka yanga wapo ndani but kwa sasa hakuna list hata simba haina uhakika wa kuwepo
View attachment 2320425
sawa lakini kwenye picha kuna wachezaji 18 na kwa harakaharaka naona maemlodi kuna wachezaji wawili, shalulile na Themba zwane, sema kimahesabu na kwenye ranks simba inastahili kuwepo sababu ni tatu kwa southen and east africa nyuma ya mamelodi na piratesYaan picha iwekwe afu tusiwepo?? Kuwa serious wee lol.
Yes tunaanzia chekechea ma baadhi ya wakubwa wenzetu kama akina ZAMALEK, nyinyi mnaanzia chekechea kama sisi ila level zemu akina ZALAN FC.Kachezeni nyie mnajifanyaga wakubwa mwisho wa siku mna anzia chekekea
Sis lazima Tuwepo last born wa CAF. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawa lakini kwenye picha kuna wachezaji 18 na kwa harakaharaka naona maemlodi kuna wachezaji wawili, shalulile na Themba zwane, sema kimahesabu na kwenye ranks simba inastahili kuwepo sababu ni tatu kwa southen and east africa nyuma ya mamelodi na pirates
View attachment 2320441
Kwanza wajiulize kwann walibadilishiwa Draw. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yes tunaanzia chekechea ma baadhi ya wakubwa wenzetu kama akina ZAMALEK, nyinyi mnaanzia chekechea kama sisi ila level zemu akina ZALAN FC.
Nilikua natafuta kuona Domolepe la ki bukinabe lakini wapiiiii? Bas hata katani za mayele kichwan hollaaaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kila point unaiokota unaisema?.Super league itaua michuano ya CACL na kunufaisha klabu chache tu tena zenye uwezo mkubwa kiuchumi.