Official: African Super League Yanga haipo

Picha ya chama kwenye post ya caf ni lugha ya picha na tamathari za semi, lengo lake ni kuficha ukweli wenye kuumiza.
 
Sisi Yanga tunaonewa sana safari hii hatukubali lazima tucheze iwe jua iwe mvua,ujinga basi.
 
Hiyo picha imepostiwa na ukurasa wa caf, ss unamwambiaje mwenzio muongo???
 
Wewe mleta mada acha kuwadanganya Yanga, mbona mimi nikiinama chini ya hiyo picha naona Viatu vya Mayele!!

Ila naona Viatu tu Mayele simuoni, amekingwa na bega la Chama jr
😂😂😂😂😂😂

cocastic
 
micky jnr sakata la ki aziz aliyavaa ya wana utopolo hadi walimtishia maisha , kwa leo kale ka list katengeneza mwenyewe akijua atawafurahisha na wamejaaa maana hapa nasikiliza redio clouds barbra anasema hawajui kama simba wapo au hawapo list haijatoka yule sijui kaiokota wapi na uki mchallenge unakula block fasta, muoga hatari.

angalia hapo zone yetu...most definitely ni mamelodi, pirates, kaizer chiefs,simba, al hilal, el merreikh,zesco, zanaco
Ila hili suala lina utata usije shangaa list ikatoka yanga wapo ndani but kwa sasa hakuna list hata simba haina uhakika wa kuwepo

 
Wewe mleta mada acha kuwadanganya Yanga, mbona mimi nikiinama chini ya hiyo picha naona Viatu vya Mayele!!

Ila naona Viatu tu Mayele simuoni, amekingwa na bega la Chama jr
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

cocastic
Nilikua natafuta kuona Domolepe la ki bukinabe lakini wapiiiii? Bas hata katani za mayele kichwan hollaaaaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaan picha iwekwe afu tusiwepo?? Kuwa serious wee lol.
 
Yaan picha iwekwe afu tusiwepo?? Kuwa serious wee lol.
sawa lakini kwenye picha kuna wachezaji 18 na kwa harakaharaka naona maemlodi kuna wachezaji wawili, shalulile na Themba zwane, sema kimahesabu na kwenye ranks simba inastahili kuwepo sababu ni tatu kwa southen and east africa nyuma ya mamelodi na pirates

 
Sis lazima Tuwepo last born wa CAF. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yes tunaanzia chekechea ma baadhi ya wakubwa wenzetu kama akina ZAMALEK, nyinyi mnaanzia chekechea kama sisi ila level zemu akina ZALAN FC.
Kwanza wajiulize kwann walibadilishiwa Draw. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Khaaa
Nilikua natafuta kuona Domolepe la ki bukinabe lakini wapiiiii? Bas hata katani za mayele kichwan hollaaaaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Super league itaua michuano ya CACL na kunufaisha klabu chache tu tena zenye uwezo mkubwa kiuchumi.
Sio kila point unaiokota unaisema?.
Kwani saiv hali ipoje mfano TZ.
Its Only Simba au yang ndio anagombea ligi.
Enhee kwanini usiseme itaimarisha CL?
Maana kina Simba ( team zisizodhaniwa kuwa zitakuja chukua CL).
Zitapata hela za kuweza kupamba na team mabingwa ( team kutoka Morroco, Tunisia na Egypt)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…