Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Ameletwa kuja kuwazoa makoloHongera maokoto kwa kupata zoazoa
Kwahyo jina lake halisi ni Zoazoa au Zuzu.[emoji599] OFFICIAL & CONFIRMED:
Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo fundi ZOUZOUA PACOME (26) kutoka Asec kwa Mkataba wa miaka miwili.
Pacome [emoji1132] ni kiungo mshambuliaji kutoka Asec mimossas Ndiye MVP wa ligi ya Ivory coast ni mchezaji mkubwa mwenye thamani kubwa.
View attachment 2693637
Muda si mrefu utahamia tena Marumo.ZOAZOA FC[emoji196][emoji196][emoji196][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bangala kwani ni kiungo mshambuliaji au ni mkabaji?Anaenda KUCHUKUA nafasi ya Bangala.
Aucho NAYE sijui ishu yake IPO vipi???
Madam habari za siku nyingiNdanda Kosovo mtupu
🤣🤣🤣🤣🤣 bangala ni kiungo mshambuliaji?Anaenda KUCHUKUA nafasi ya Bangala.
Aucho NAYE sijui ishu yake IPO vipi???