Official and Confirmed: MVP Zouzoua Pacome is green and yellow

Muda si mrefu utahamia tena Marumo.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Halafu Marumo wakitolewa, anakimbilia kwa Usm Alger!! 😃

Hicho ndicho kipindi pendwa cha mateso kwa wapinzani wetu. Kitakapoanza tu, utawaona wanavyoanza kupoteana.

Furaha yote ya uzinduzi wa jezi za kwenye kibegi, itakwisha! Na malalamiko yataanza sasa kutamalaki.
 
Kumbe kibegi mnakifuatilia sana kuliko siku yenu ile
 
Hawa wahuni matutopolo wametupania sana dadeki ngao ya jamii tujipange wakitupiga shida sana. Simba SC nguvu moya 💞💞💯💯
 
Hawa wahuni matutopolo wametupania sana dadeki ngao ya jamii tujipange wakitupiga shida sana. Simba SC nguvu moya 💞💞💯💯
Jiandaeni kisaikolojia utopwoloo...
 
👇🏿
 

Attachments

  • 3FACC723-CB32-4E5B-A054-CC11523139C9.jpeg
    1.5 MB · Views: 9

Na malalamiko yametamalaki haswa sasa hivi wanasema tunanunua mechi ila na wao walikula 5
 
Tayari wamerudi kwenye utaratibu wao wa kulalamika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…