Official and Confirmed: MVP Zouzoua Pacome is green and yellow

Muda si mrefu utahamia tena Marumo.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Halafu Marumo wakitolewa, anakimbilia kwa Usm Alger!! 😃

Hicho ndicho kipindi pendwa cha mateso kwa wapinzani wetu. Kitakapoanza tu, utawaona wanavyoanza kupoteana.

Furaha yote ya uzinduzi wa jezi za kwenye kibegi, itakwisha! Na malalamiko yataanza sasa kutamalaki.
 
Kumbe kibegi mnakifuatilia sana kuliko siku yenu ile
 
[emoji599] OFFICIAL & CONFIRMED:

Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo fundi ZOUZOUA PACOME (26) kutoka Asec kwa Mkataba wa miaka miwili.

Pacome [emoji1132] ni kiungo mshambuliaji kutoka Asec mimossas Ndiye MVP wa ligi ya Ivory coast ni mchezaji mkubwa mwenye thamani kubwa.

View attachment 2693637
Hawa wahuni matutopolo wametupania sana dadeki ngao ya jamii tujipange wakitupiga shida sana. Simba SC nguvu moya 💞💞💯💯
 
MVP ambae grafu yake ya performance inashuka..tuache uongo basi..una okota okota reject
Screenshot_20230720-132247~2.png
Screenshot_20230720-132055~2.png
 
Hawa wahuni matutopolo wametupania sana dadeki ngao ya jamii tujipange wakitupiga shida sana. Simba SC nguvu moya 💞💞💯💯
Jiandaeni kisaikolojia utopwoloo...
 
👇🏿
 
Attachments

  • 3FACC723-CB32-4E5B-A054-CC11523139C9.jpeg
    3FACC723-CB32-4E5B-A054-CC11523139C9.jpeg
    1.5 MB · Views: 9
Halafu Marumo wakitolewa, anakimbilia kwa Usm Alger!! 😃

Hicho ndicho kipindi pendwa cha mateso kwa wapinzani wetu. Kitakapoanza tu, utawaona wanavyoanza kupoteana.

Furaha yote ya uzinduzi wa jezi za kwenye kibegi, itakwisha! Na malalamiko yataanza sasa kutamalaki.

Na malalamiko yametamalaki haswa sasa hivi wanasema tunanunua mechi ila na wao walikula 5
 
Halafu Marumo wakitolewa, anakimbilia kwa Usm Alger!! [emoji2]

Hicho ndicho kipindi pendwa cha mateso kwa wapinzani wetu. Kitakapoanza tu, utawaona wanavyoanza kupoteana.

Furaha yote ya uzinduzi wa jezi za kwenye kibegi, itakwisha! Na malalamiko yataanza sasa kutamalaki.
Tayari wamerudi kwenye utaratibu wao wa kulalamika
 
Back
Top Bottom