OFFICIAL: Elon Musk amekuwa trillionaire ($) wa kwanza kutokea dunia

OFFICIAL: Elon Musk amekuwa trillionaire ($) wa kwanza kutokea dunia

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Hii ndio historia ya utajiri wake throughout the years.
2026: $1 Trillion
2025: $683 Billion
2024: $400 Billion
2022: $219 Billion
2021: $151 Billion
2020: $74.6 Billion
2018: $19.9 Billion
2016: $10.7 Billion
2012: $2 Billion

Utajiri wa elon upo documented ila naamini kuna watu walishaigusa hio trillion moja muda mrefu, watu kama putin na wana-ufalme huko uarabuni.

Meanwhile, nimekaa hapa kwa mama ntilie karibia dakika kumii nzima namsubiria ameenda kunitafutia chenji yangu (mia 400)
 
Nielezee alitokaje 2b had 10.7b ndani ya miaka minne tu
 
Inasikitisha sana 1.18Trillion hizo point unaweza kudhani ni vihela hela vidogo kumbe billions
 
Huu uchumi wa kimasoko ya hisa naona umekaa ki_kamari kamari sana. Eti leo hisa zikiporomoka tu tayari unaambiwa jamaa sio trilionea tena!
 
Back
Top Bottom