Nielezee alitokaje 2b had 10.7b ndani ya miaka minne tuHii ndio historia ya utajiri wake throughout the years.
2026: $1 Trillion
2025: $683 Billion
2024: $400 Billion
2022: $219 Billion
2021: $151 Billion
2020: $74.6 Billion
2018: $19.9 Billion
2016: $10.7 Billion
2012: $2 Billion
Utajiri wa elon upo documented ila naamini kuna watu walishaigusa hio trillion moja muda mrefu, watu kama putin na wana-ufalme huko uarabuni.
Meanwhile, nimekaa hapa kwa mama ntilie karibia dakika kumii nzima namsubiria ameenda kunitafutia chenji yangu (mia 400)
Kwasababu alikataa kuoaππNielezee alitokaje 2b had 10.7b ndani ya miaka minne tu
Mwanamke ndio mtu anaeweza kumfanya mwanaume milliomea kutoka billionareKwasababu alikataa kuoaππ
Kuoa ni jambo jema kijamii ila kiuchumi ni usenge sanaKwasababu alikataa kuoa[emoji16][emoji16]