Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
Means zitabaki chache sana tu na sana na wanafunzi watakuwa wachacheNi sawa zitapatikana mahali pengine hope wamefanya utafiti na kujiridhisha kuwa si lazima kuwa nazo
Taratibu mkuuNani aliziweka
Hii ni kutoka juuDuuh kazi ipo
Zingine zipo mbonaI na III, kwa II na VI zisingefutwa, ila zingeunganishwa. Naona zina wiana.
Ko Ualimu hauko tena UDOM? lol. 😂😂😂😂😂
Mkuu tulia sikilizia lakini kama tangazo lilivyo hakutakuwa na kozi hizi kwa mwaka huu mpya wa masomoMhhh mbona ningefanya maombi Leo kwa mteja wangu kwa kozi ya ualimu na maombi yakakubaliwa,pesa yangu itakuwa vipi
Wazee wa CNMS na Earth Science watarudishwa kuongeza nguvu COED maana vinginevyo majengo yatageuka makazi ya popoHii ni kutoka juu
Taratinu mkuu
Hahahah SAWA mkuu USIJALI Hawa washatuzoea SANA bila kuwapandia awatuelewiTaratibu mkuu
Hawa wanaozisoma sasa ndio watakuwa wa mwisho kuzisomaHahahah SAWA mkuu USIJALI Hawa washatuzoea SANA bila kuwapandia awatuelewi
Aaaah sawaaaZingine zipo mbona
Special needs
Early childhood
Ndo nilicho kisema mie hapo juu.Hawa wanaozisoma sasa ndio watakuwa wa mwisho kuzisoma
Halafu
Hiyo psychology na guidance and counseling ni kitu kimoja tu
Science with ICT na Hiyo BED science kuna tofauti gani?
Hiyo administration and management inapishana kidogo na policy planning and management..
Wangeunga ziwe moja moja .
MkuuDuuh kazi ipo, pale ujasi Ng'ong'ona napo biashara zinaelekea tamati na vijana waliojiajiri naona wakipoteza matumaini.