I salute you kinsmen.
Kama nilivyoripoti mwanzo kuwa kuna tetesj programme nyingi udom katika ndaki ya elimu yaani college of education (COED) zitapunguzwa na kwanzia muhula huu hazitakuwepo ..
Na sasa tamko rasmi limetoka kuwa course hizo hazitakuwepo
Refers andiko lililopita.
Na kule vyuo vya ualimu wamefuta diploma ya sekondari na vyuo vinakosa watu, inasemekana baadhi ya vyuo wakufunzi ni wengi kuliko wanachuo
www.jamiiforums.com
Na sasa imekuwa official kozi hizi mwakani hazidahili watu tena ..
Hili ni Agizo kutoka juu hasa likija na mkuu wa chuo mpya
Na rafiki zangu wanaofanya kazi hapo na wanafunzi wamenipenyezea hii .
Una maoni gani???
View attachment 3410143
NB: kozi hizi zitafutwa na kulingana na admission book ya UDOM mwaka huu ni kuwa kuna programme nyingi mpya zimeletwa .
Hivyo nitaenda kuisoma hiyo guidebook pamoja na ya TCU kisha kuzileta hapa ..