Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
- Thread starter
-
- #21
Badala yake wamefuta ila taarifa nyingine ni kuwaNdo nilicho kisema mie hapo juu.
Za chini ya kapeti ni kuwa watu CHSS yaani social hasa wale Baed wanaletwa COED pia nao wapo wengi lakini moja ya college yenye watu wengi ni COEDWazee wa CNMS na Earth Science watarudishwa kuongeza nguvu COED maana vinginevyo majengo yatageuka makazi ya popo
Kwamba watu wa jalalani unawaonaje?🤣Zipelekwe jalalani
Basi sawaaa.Badala yake wamefuta ila taarifa nyingine ni kuwa
kozi hizi zitafutwa na kulingana na admission book ya UDOM mwaka huu ni kuwa kuna programme nyingi mpya zimeletwa .
Hivyo nitaenda kuisoma hiyo guidebook pamoja na ya TCU kisha kuzileta hapa ..
Ndio kama hivyo hakuna tena itafutwaBedcom imekuwaje tena
Guide Book haina Jipya kabisa nilitamani kuona kule Tiba wameleta BMLS ila wapiI salute you kinsmen.
Kama nilivyoripoti mwanzo kuwa kuna tetesj programme nyingi udom katika ndaki ya elimu yaani college of education (COED) zitapunguzwa na kwanzia muhula huu hazitakuwepo ..
Na sasa tamko rasmi limetoka kuwa course hizo hazitakuwepo
Refers andiko lililopita.
Tetesi: - UDOM kupunguza programme degree za ualimu, sasa zitabakia nne tu
Na kule vyuo vya ualimu wamefuta diploma ya sekondari na vyuo vinakosa watu, inasemekana baadhi ya vyuo wakufunzi ni wengi kuliko wanachuowww.jamiiforums.com
Na sasa imekuwa official kozi hizi mwakani hazidahili watu tena ..
Hili ni Agizo kutoka juu hasa likija na mkuu wa chuo mpya
Na rafiki zangu wanaofanya kazi hapo na wanafunzi wamenipenyezea hii .
Una maoni gani???
View attachment 3410143
NB: kozi hizi zitafutwa na kulingana na admission book ya UDOM mwaka huu ni kuwa kuna programme nyingi mpya zimeletwa .
Hivyo nitaenda kuisoma hiyo guidebook pamoja na ya TCU kisha kuzileta hapa ..
Kwaiyo Udom haitaki tena kusomesha walimuI salute you kinsmen.

Sababu ya kuzifuta iliyotolewa (kwa kuwa kuna kozi zingine mpya zinakuja!) ni sababu ya kijinga na kipumbavu zaidi, tena inatolewa na chuo kikuu.Mkuu
NB: kozi hizi zitafutwa na kulingana na admission book ya UDOM mwaka huu ni kuwa kuna programme nyingi mpya zimeletwa .
Hivyo nitaenda kuisoma hiyo guidebook pamoja na ya TCU kisha kuzileta hapa
Ingawa umesema kweli maana kozi hizi zilikuwa na watu wengi sana hasa hiyo ADMAN administration and management.
Sasa kama maudhui yanafanana je?Sababu ya kuzifuta iliyotolewa (kwa kuwa kuna kozi zingine mpya zinakuja!) ni sababu ya kijinga na kipumbavu zaidi, tena inatolewa na chuo kikuu.
Tangu lini uwepo wa kozi mpya ukawa sababu ya kufuta kozi za zamani?