Official launch of the Volksvagen car assembly plant in thika

Boda254

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2015
Posts
379
Reaction score
110
  • The plant is set to start assembling Volkswagen vehicles, including light trucks and the volksvagen
 
Afadhal aisee vigharama navyo vishuke
 
President Uhuru Kenyatta Launches Volkswagen Plant in Thika

Its said that by 2019 it will be producing about 20000 VW golfs annually

Bravo On this

 
ndoto za kumiliki toureg zinakaribia sasa ukiliagiza kuingia tzii mwendo wa storage ni ule ule au
 
Hiyo ni dawa ya kumaliza nguvu ya soko ya gari za kijapan,ila niliwahi kusikia tetesi kuwa Toyota wana mpango wa kufungua kiwanda cha namna hiyo hapa Tanzania pia.Acha watusogezee maana nina usongo sana na Volkswagen tourage ya 2016.
 
But the question remains; are able to force the manufacturer to adhere to EU's and International environmental standards? We all remember of what they did in USA with regards to environmental pollution and how much the USA penalized Volkswagen. Do Kenyan government has the technology to measure quality of the manufactured vehicles?


Vv
 
Hiyo ni dawa ya kumaliza nguvu ya soko ya gari za kijapan,ila niliwahi kusikia tetesi kuwa Toyota wana mpango wa kufungua kiwanda cha namna hiyo hapa Tanzania pia.Acha watusogezee maana nina usongo sana na Volkswagen tourage ya 2016.
Sisi hatuna muda wa kubembeleza mtu, tumekuwa wateja wa toyota for years, but for now if they r serious they must do it, or tutahamia gari maridadi za mjerumani, tupa mbali toyota,.
 
But why are tanzanians like this??? Is there a car un Tanzania that even reaches afghanistan safety standards .....

You people need to do you 90% of the cars in Kenya right now dont adhere to those standards ....

Mbona mko hivi!!

Tunaweka picha ya train

Wengine washaanza kusema ziko ugly na wenyewe Hamna

Aiiiii
 
Haya sasa, zile pesa za chini ya vitanda na zilizo zikwa nyuma ya nyumba ya "bibi Fulani" mzitoe, Wajerumani hawataki mchezo, wanataka pesa tuu.
 

Nani kakwambia mimi ni Mtanzania? Wapi nimeihusisha Tanzania ktk hoja yangu, mbona sijaweka neno au jina Tanzania kwenye mchango wangu? Utanzania, Ukenya au Uuganda hauwezi kutufanya sisi wengine tuache kuwa critique kwenye mijadala.
KUMBUKA, mimi ni mdau na beneficiary wa hiyo project, ikifanikiwa, huenda nikapata nafasi ya kumiliki na kuendesha gari jipya kwa mara ya kwanza maishani mwangu.


Vv
 
Hua nacheka sana nikisoma ile thread ya kulinganisha Thika na Dodoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…