Official Lynn alamba dili la ubalozi

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Haka kadada nilikua nakachukia, kalikua kana mapepe mno na nyodo flan hivi , ila toka wanazengo wampe makavu Naona siku hizi akili zimemrudia, kako focused hakana mapepe kama zamani, ameanza kukaa kwenye ramani mpaka makampuni yameanza kumtumia kama balozi kwenye products zao .

Habari Mpya ni hii, mrembo huyo mwenye mvuto na uzuri wa asili, amelamba dili la ubalozi wa hair Darling Tanzania , mrembo huyo alipost kwenye ukurusa wake wa instagram mapema jana ikimuonyesha akisain mkataba ndani ya kampuni hyo.

Official Lynn , naweza kusema ndiye Mrembo anayeishi maisha expensive kuliko mrembo mwingine yeyote wa calibre yake ( wadangaji). Unaambiwa lyn kwa sasa anaongoza kwa kutoka na wanaume wenye pesa chafu , ndani na nje ya nchi. Uzuri sasa hvi ameanza kujielewa na kujitengenezea vi ajira vya hapa na pale , licha ya ukweli kwamba anaweza kukaa mwaka mzima bila kufanya kazi yeyote na still aka survive.

Lyn anaweza kuwa tishio kwa mastaa kama wema , Hamisa,Tunda , Lulu, husna maulid kama akiendelea kujituma na kuwa Serious na kazi , I can see potential in her .

Kazi inaleta heshima Hata kama ukiwa unadanga but have your business or something else to do , hongera sana official Lynn , more success Darling



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hongera zake. Akumbuke tu muda wa ku shine mfupi sana hasa kwa dem...!!!
 
Anajisafishaje!
Au wapaka urembo ndo humsafisha!
 
Hivi kucha kama hizo anatawazaje akimaliza kupupu au kusafisha papuchi yake?
 
Huyu tatizo shule tu ..ukiskiliza interview zake utazima simu [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app

Kabisa
Huyu dada anachohitaji ni shule/exposure sasa ya namna ya kujielezea na kubehave na kupangilia maneno akiwa anaongea,sijui inakuwaje mtu anaongea namna ile
 
Nilivyoona ubalozi nilifikiri anakwenda kutuwakilisha huko kwa Trump.
 
"Mavixen wamepora mic akina Linah,mwenye uwezo wanastaff bila heshima kilazima"-Zaiid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…