Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,052
- 4,621
Nimetoa maana ya neno husika katika wakati timilifu na sio kutendwaSas hapo ni kudanga au kudangwa. ?
Mkuu vipi wale akina poshyqueen, tuerny? Wote anawakimbiza pia au?Ila Haka katoto kanakuja kwa kasi aiseh, juzi tu kahongwa volkswagen kwenye birthday yake , Leo tena kahongwa BMW , naona wambea tumechonga sio yake kaamua kutuumbua na kadi ya gari, mmh mwaka wako bibie, we danga tu ufanye ya maana, waulize akina wema sasa hvi wako wapi , wanatembea hadi na mateja na matapeli.
Ila Mimi nilisema, irene Ana danga lake la maana , na ndio aliomnunulia zawadi ya gari siku ya birthday yake , Diamond hawez nunulia Gari mwanamke, mbahili sana , hata hamisa mwenyewe ni vile tu aliroga na aliambiwa afiche siri kuwa wanatoka wote na Ana mimba yake , domo haongagi hovyo hovyo , hamisa mwenyewe ikabidi ajizalishe ndo aambulie child support , vinginevyo angejuta.
Ila irene anakula bata , jumba analoishi sasa, ukiliona utasikia kizungu zungu, hata kama kapangishiwa bata tu anakula kwa kweli .
Kwa sasa hvi kwa mastaa wadangaji bongo , irene ndo anawakimbiza, hakuna cha mobeto, tunda , uwoya, wema wala nani, sema tu ndo akumbuke kufanya vya maana , wakimchoka watamfanya kama walivyomfanya wema , sasa hiv analala mpaka na akina dogo janja
NdiooiNaomba kuuliza..
Neno "kudanga", je ni tafsida ya neno "kujiuza/umalaya/uchangudoa!?.
Naomba kujuzwa wakuu, ili nami nijue sehemu ya kuliweka na wapi nitumie!.
Mkuu nimecheka sana hapo ulipoamua kuziita mbaazi.Yes kwasasa hawasubiri mpaka zishuke wakikuta IMOOOOOOOOOO unaanza kula Mbaazi kama ZOTE.
Halafu sasa hivi unapewa za miezi mitatu kabisa huna sasabu ya kurudi kila miezi...kwa hiyo unapiga za miezi mitatu ndio unarudi tena.Noma Sana Mwaka wake huu,Akumbuke kwamba sasa hivi wanaanzisha DAWA mapema za kupunguza makali.
Hahaha kabisa tuendelee kukumbushana kwahiyo mambo ya kuchoreshana kwenda kuchukua mbaazi inapungua hivyo inakuwa ngumu kupata dondoo za watu wanaotumia mbaazi.Halafu sasa hivi unapewa za miezi mitatu kabisa huna sasabu ya kurudi kila miezi...kwa hiyo unapiga za miezi mitatu ndio unarudi tena.
Hahahaaaa nimechekaaaMpya wapi , c unajua umbea lazima uongeze chumvi🤣🤣
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu naona leo umehamua kuwaweka wanaume wa Dar busy!
Yaani umeandika kana kwamba kila mtu anafuatilia huko insta yanayotokea.Ila Haka katoto kanakuja kwa kasi aiseh, juzi tu kahongwa volkswagen kwenye birthday yake , Leo tena kahongwa BMW , naona wambea tumechonga sio yake kaamua kutuumbua na kadi ya gari, mmh mwaka wako bibie, we danga tu ufanye ya maana, waulize akina wema sasa hvi wako wapi , wanatembea hadi na mateja na matapeli.
Ila Mimi nilisema, irene Ana danga lake la maana , na ndio aliomnunulia zawadi ya gari siku ya birthday yake , Diamond hawez nunulia Gari mwanamke, mbahili sana , hata hamisa mwenyewe ni vile tu aliroga na aliambiwa afiche siri kuwa wanatoka wote na Ana mimba yake , domo haongagi hovyo hovyo , hamisa mwenyewe ikabidi ajizalishe ndo aambulie child support , vinginevyo angejuta.
Ila irene anakula bata , jumba analoishi sasa, ukiliona utasikia kizungu zungu, hata kama kapangishiwa bata tu anakula kwa kweli .
Kwa sasa hvi kwa mastaa wadangaji bongo , irene ndo anawakimbiza, hakuna cha mobeto, tunda , uwoya, wema wala nani, sema tu ndo akumbuke kufanya vya maana , wakimchoka watamfanya kama walivyomfanya wema , sasa hiv analala mpaka na akina dogo janja
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mhhh,huyu unakuta ndo mkeo umeoa na kuweka ndani haki ya Mungu nyumba unaikimbia
Naomba kujua jinsia yako plzIla Haka katoto kanakuja kwa kasi aiseh, juzi tu kahongwa volkswagen kwenye birthday yake , Leo tena kahongwa BMW , naona wambea tumechonga sio yake kaamua kutuumbua na kadi ya gari, mmh mwaka wako bibie, we danga tu ufanye ya maana, waulize akina wema sasa hvi wako wapi , wanatembea hadi na mateja na matapeli.