Official Lynn aonyesha jeuri ya pesa, Anunua BMW mpya

Official Lynn aonyesha jeuri ya pesa, Anunua BMW mpya

Hawa wadada tunajuaga uwepo wao Ila shughuli zao maalum hatuzijuagi,nadhani wanaingia mjini wanadanga... halafu wanapata mitaji.

Wengi wao hawaeleweki.
 
Kadi ya gari isikuchanganye wolper alishushwa kwenye gari na kadi yake muhimu afanye investment na ajenge pia ni kadogo kangerudi shule huku kanaendelea kudanga ingekuwa mpango sana
Unakumbuka lulu tulimshikia bango rudi shule aliporudi akaanza kujielewa na kubadilika kabisa haka ka irene kanabidi nako karudi shule hata kama ni hotel management
Ushauri mzuri...atanue fikra..hii dunia inaenda mbele na nyuma... muhimu ajielewe...dunia inacheza dansi...leo blues kesho regge
 
Ila Haka katoto kanakuja kwa kasi aiseh, juzi tu kahongwa volkswagen kwenye birthday yake , Leo tena kahongwa BMW , naona wambea tumechonga sio yake kaamua kutuumbua na kadi ya gari, mmh mwaka wako bibie, we danga tu ufanye ya maana, waulize akina wema sasa hvi wako wapi , wanatembea hadi na mateja na matapeli.

Ila Mimi nilisema, irene Ana danga lake la maana , na ndio aliomnunulia zawadi ya gari siku ya birthday yake , Diamond hawez nunulia Gari mwanamke, mbahili sana , hata hamisa mwenyewe ni vile tu aliroga na aliambiwa afiche siri kuwa wanatoka wote na Ana mimba yake , domo haongagi hovyo hovyo , hamisa mwenyewe ikabidi ajizalishe ndo aambulie child support , vinginevyo angejuta.

Ila irene anakula bata , jumba analoishi sasa, ukiliona utasikia kizungu zungu, hata kama kapangishiwa bata tu anakula kwa kweli .


Kwa sasa hvi kwa mastaa wadangaji bongo , irene ndo anawakimbiza, hakuna cha mobeto, tunda , uwoya, wema wala nani, sema tu ndo akumbuke kufanya vya maana , wakimchoka watamfanya kama walivyomfanya wema , sasa hiv analala mpaka na akina dogo janja
Uliyeandika uzi huu inabd urud kule Facebook maan ndo sehem wanaweza kumjadili huyu Lyn huku weka vitu vya msingi
 
kama.mavuzi zingekuwa nyasi sio plastik yangeumia sana kwa kusagwa sagwa
 
Back
Top Bottom