Ila Haka katoto kanakuja kwa kasi aiseh, juzi tu kahongwa volkswagen kwenye birthday yake , Leo tena kahongwa BMW , naona wambea tumechonga sio yake kaamua kutuumbua na kadi ya gari, mmh mwaka wako bibie, we danga tu ufanye ya maana, waulize akina wema sasa hvi wako wapi , wanatembea hadi na mateja na matapeli.
Ila Mimi nilisema, irene Ana danga lake la maana , na ndio aliomnunulia zawadi ya gari siku ya birthday yake , Diamond hawez nunulia Gari mwanamke, mbahili sana , hata hamisa mwenyewe ni vile tu aliroga na aliambiwa afiche siri kuwa wanatoka wote na Ana mimba yake , domo haongagi hovyo hovyo , hamisa mwenyewe ikabidi ajizalishe ndo aambulie child support , vinginevyo angejuta.
Ila irene anakula bata , jumba analoishi sasa, ukiliona utasikia kizungu zungu, hata kama kapangishiwa bata tu anakula kwa kweli .
Kwa sasa hvi kwa mastaa wadangaji bongo , irene ndo anawakimbiza, hakuna cha mobeto, tunda , uwoya, wema wala nani, sema tu ndo akumbuke kufanya vya maana , wakimchoka watamfanya kama walivyomfanya wema , sasa hiv analala mpaka na akina dogo janja