Mkuu unamjua Mange unamsikia? unataka siri zako zote tusizozifahamu ziwe hadharani?
Anayo verified accountHuyu licha ya kuchimbwa kamkwara kadogo na yule jamaa wa DSM pale bado anaendelea kuonyesha ukomandoo wake.
kama vipi hebu afungue account hapa Jf halafu yale mambo yake ayalete huku ili tumpime kama kweli ligi lake ni la mchangani au uwanja wa nyasi.
alete hoja huku kwa mtindo ule ule na jina lile lile ili watu wampime kidogo uweze kujibu mashambulizi ya karibu.
yani Jf wampe hata kaofa kakukaa humu kwa wiki moja tu.
ila kumbuka aje na mbinu zile zile na hoja zile zile za kule.
Ingia hapa kwenye verified account yake MangeKimambiMna uhakika hayumo humu?
Ngosha shikawaduAnayo verified account
MangeKimambi
Kama unamtaka mfuate huko huko insta ukapambane naye.....Huyu licha ya kuchimbwa kamkwara kadogo na yule jamaa wa DSM pale bado anaendelea kuonyesha ukomandoo wake.
kama vipi hebu afungue account hapa Jf halafu yale mambo yake ayalete huku ili tumpime kama kweli ligi lake ni la mchangani au uwanja wa nyasi.
alete hoja huku kwa mtindo ule ule na jina lile lile ili watu wampime kidogo uweze kujibu mashambulizi ya karibu.
yani Jf wampe hata kaofa kakukaa humu kwa wiki moja tu.
ila kumbuka aje na mbinu zile zile na hoja zile zile za kule.
Vitu vingine vya ajabu kweli yaan wewe uje fake fake fake zake halafu yeye aje na real real eti mshindane. Huone hata aibu kuwaza hivyo?. Na wewe weka jina halisi kama yeye ndo mshindane sio umfunge mikono nyuma then utake mpigane utakuwa ujuha wa kiwango cha reli yetu pendwa!!!kama ana uwezo wa kujua siri za mtu atashindwaje kujua ID fake ya mtu ?
[emoji23]We sema tu unatamani awe anapost na uku[emoji3][emoji3]
unaweza jiuliza "au kwa trump Jf haishiki mtandao" ?Anayo verified account
MangeKimambi
Kwa hiyo hana facts?Shida jf hawaruhusu matusi na matusi ndio silaha yake kubwa, yule ukimchallenge anatukana