Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,497
- 4,775
- Thread starter
- #21
kuna wakati unatakiwa kusoma thread halafu ukajipa muda kidogo wa kufikiri.Kama unamtaka mfuate huko huko insta ukapambane naye.....
Wee naye lioga tuu si kule anakopostigi kuna option ya comment??
Ustake uhurumiwe huku. Mbona mzee mtuziii huwa anapambana naye huko huko?