Official mange account on Jf

Kama unamtaka mfuate huko huko insta ukapambane naye.....
Wee naye lioga tuu si kule anakopostigi kuna option ya comment??
Ustake uhurumiwe huku. Mbona mzee mtuziii huwa anapambana naye huko huko?
kuna wakati unatakiwa kusoma thread halafu ukajipa muda kidogo wa kufikiri.
 
Mkuu unamjua Mange unamsikia? unataka siri zako zote tusizozifahamu ziwe hadharani?
Acha uwoga. Ni mpk uwe umeji expose sana kwa watu ndio na yeye anaweza ku dig in about you. Sio kila mtu
 
aisee kule insta watu hatumfuati tunahofia kumaliza mb zetu aje jf .....alete mambo yake ya unoko hahaha hamalizi wiki ban anayo mkuu
Indeed akae huko huko
Bi Mitusi
 
nani kasema aje huku ili ashindane na mtu ?
kwanza kumbuka Jf siyo ukumbi wa mashindano,elewa hilo vizuri.
kingine kama nimtumiaji mzuri wa jf utagundua kuwa sipo id nyingi tu zenye majina halisi na picha halisi,siyo kila id ni fake humu.
 
Kinacho mpa nguvu Mange ni watu,watanzania wenyewe....na hii ji kwasababu watu wote wanao mfollow ndio wanampa taarifa hata mm akinipost tuu...tayari wanao nijua na maadui zangu pamoja na wale nilio waumiza wana tiririsha taarifa zangu zooooote
 
Huku hawezi kukaa hata ck 1, Mange kule ana misukule hataki uhoji ukweli ya habari zake, hataki uulize yaani wewe msifu tuu na uwe mr. Ndio hapo mtaenda poa.

Huku watu wanahoji, wanabeza, wanachekelea, wanapinga, wanaomba ushahidi n. k
 
Nafikiri wamiliki wa JF wafanye namna wamtumie kiujasiriamali...wamshawishi aamie na huku....nafikiri matumizi ya JF..yatakua maradufu..

Lkn pia kila mtu na stail yake.....Kama Trump anavyotweet...Mange nae yuko inst...
 
Wewe unaamini anajua kila kitu Chako,so ukijibizana naye atakuweka uchi??
Hajui chochote! Yeye ni kama alivyokuwa marehemu Nico Zengekala, yule mwanamuziki aliyekuwa haoni ( Kipofu) akiimbia JJB.
Likitokea tukio ukumbini, kama vile vurugu au fujo, jamaa wanamnong'oneza tukio zima, kisha yeye anashika mic, na kuongelea tukio hilo. Anataja mpaka wasifu wa mleta fujo, yukoje, kavaa nini, na ni upande gani.
Mange naye, wadau wanampelekea udaku huko!
 
Ana account huku,fuatilia uandishi wake tu utamgundua hapa
 
Yule ukimtukana hapa JF na I'D yako fake atakutafuta mpaka Ajue jina lako na maisha yako yote
Jeuri hiyo ya kujua jina halisi hana,wameshindwa watu wa cyber crime aweze mange?,acha basi kuishusha hadhi kiasi hicho jf
 
Yule Power bank anayejifanya shekhe Wa DSM nasikia hali yake ni mbaya. Yale mawazo ya kuishatiki Jf kayafuta soon Instagram wataitwa mahakani
 
Kwani umeambiwa Mange ni great thinker?Wewe kama unakajipu ambako kanamuhusu baba Jorgen basi mpe Mange tu ili JF huku sidhani kama anapataka
 
Mange si kwamba anajua kila kitu ispokua ni watanzania wenzetu ndo wanampa information za watu anaowatafta kuwachamba, so I think she isn't a genius to that extent!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…