Official: Pep Guardiola kutua Manchester City

 
hakuna kocha atakayefundisha timu zenye wachezaji wa sasa wa Barcelona na Bayern Munich asipate sifa. huyo Goardiola ajiandae kuondoka kama wenzake. ni kocha aliyedandia mafaniko ya wenzake waliokuwa wametengeneza timu. Time will Tell

Hongera kwa kuutendea haki ubongo wako maana wengi wana muona ni bonge la kocha kumbe anasafiria nyota ya wenzake na huyu ataondoka kwa aibu kuliko akina Van gal au Mourinho
 
100% correct!

Naweza kusema Pep akija England ndio mwisho wa ufalme wake! Time will tell!

Naweza kusema Mou na Sir Alex ndio wababe pekee wa soka la EPL!

Mou hamna kitu ila ungesema wafalme wa soka la Epl ni Sir Alex na Wenger ningekuelewa
 
Sawa unachokisema ila mkuu kaa ukijua kwamba Guardiola ni kocha wa namna ya kipekee
sana kuwahi kupata kutokea katika soka hasa katika ngazi ya kocha wa klabu.

unamna wake ni upi? Kocha hapa duniani kwa sasa ni morinyo ambae amechuku uefa na timu tofauti.mfano akiwa na wachezaji wa kawaida sana intermilan na porto
 
Sasa nini maana ya OFFICIAL Kama bado haijadhibitishwa? BRN Ina Tabu Sana.!!
 
100% correct!

Naweza kusema Pep akija England ndio mwisho wa ufalme wake! Time will tell!

Naweza kusema Mou na Sir Alex ndio wababe pekee wa soka la EPL!

Nawaona kwa mbaliii mwisho wa msimu ujao mnaanza kupiga tena kelele oohhh karithi timu ya Pellegrin. Guardiola ana uwezo, ndo anakuja EPL kuwaonyesha uwezo wake sasaaaaaaaa.

Ctak tena niwackie eti karithi timu ya flan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…