OFFICIAL : Samsung watoa simu yenye 7000mAh muda mfupi uliopita(M51)

Mkuu nataka kuagiza Doogee N20 ram 4, ROM 64, rear camera 16MP na front 8 kwa 218000/=

Na kuna ule phone ina specifications kama izo kwa 237000/=

Nipe neno Mkuu
Kwa simu za kichina mkuu Kama unaipenda pesa yako jaribu brand za xiaomi kwanza , oppo then vivo Kama third option,
Sijaona Hadi Sasa simu iliyokuwa loaded na extras best kwa Bei ya chini Kama xiaomi, oppo ikifuatiwa hasa segment ya realme ,
Hizo ulephone diogee umidigi na kadhalika hazina quality nzuri japo wamejaza specs za kuvutia, nyingi sio realistic niliwahi kumiliki ulephone Vienna na diogee y8 , zote zilikuwa haiperform kwa specs zilizoandikwa hasa upande wa battery
 
Nasubiri simu mpya itakayotoka na os tofauti na android, ios na window ndo nibadili hii nayotumia
 
Inapatikana globally au India tu kama kawaida ya m series zote
Hapa ndio wanayumbaga..

Ila toleo hili naona litasambaa, maana wamesema Ni kwa europe na india kwa sasa, hivyo wameongeza zone.
 
Okay poa nimefikia maamuzi ya kuagiza Xiaom redmi 9C.
Released July this year.
Kwa simu za kichina mkuu Kama unaipenda pesa yako jaribu brand za xiaomi kwanza , oppo then vivo Kama third option,
Sijaona Hadi Sasa simu iliyokuwa loaded na extras best kwa Bei ya chini Kama xiaomi, oppo ikifuatiwa hasa segment ya realme ,
Hizo ulephone diogee umidigi na kadhalika hazina quality nzuri japo wamejaza specs za kuvutia, nyingi sio realistic niliwahi kumiliki ulephone Vienna na diogee y8 , zote zilikuwa haiperform kwa specs zilizoandikwa hasa upande wa battery
 
Official imeingia Sokoni mchana wa leo.
 
Back
Top Bottom