middle east
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 1,308
- 1,690
Modric my best midfielder in the world
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, unasema Madrid apige penetration pass? Barca alichemka hapo kwa hiyo style, tena Barca akiwa na manguli wa kudribble akina Messi na Neymar na hawakufua dafu.
Njia pekee ya kumuokoa Madrid ni Counter, PERIOD. Labda yatokee makosa madogo madogo ya hapa na pale yatakayofanywa na Juve ila sio kwa kupiga pass za kupenyeza. Hata hizo Counter sio mipira ya juu.
ACHANA NA VILE VIUMBE MKUU.
Juventus wangekuwa na mtu kama Lewandoski au Vidal hii Game wala tusingesubiri dakika 90 kujua nani anabeba kombe.
Sioni Madrid akipata goli kwa namna yoyote mbele ya Juventus, wale watu wanajua ni nini wanachokifanya uwanjani hususani linapokuja suala la kukaba.
Hakuna ambae mpaka sasa hajamsoma mwenzie, hivi Zidane haijui Juventus? Akina Khedira, Dani Alves, Buffon hawaijui Madrid?
Mimi naona Madrid anahitaji mbeleko kupata Goli mbele ya Juve, hii beki imenikumbusha Inter Millan ya Jose Mourinho ila hii imezidi sasa ya Juventus.
Mkuu afadhali umenisaidia kushangaa. Pamoja na maada nzuri ila nahisi hapo kidogo ka-miscalculate. Ila all in all anyone can win, though Juve are the favorite.
Kwa wale wa historia wanaamini Juve atamfunga Madrid kiulaini tu.
Tukiachana na historia Mimi naamn ushindi mnono tu utaenda kwa Juve na si Madrid.
Zile zilikuwa ni tambo tu Mkuu, achana na Messi akiwa on form, achana na huyu mtu kabisa. Ni rahisi hata Navas kushinda au Kroos kufunga ila sio Ronaldo au Bale.
Mkuu wale watu kufungwa sio mchezo.
Madrid sema wametokea kuwa na best midfield in the world, ndicho kinachowafanya wanakuwa vizuri, otherwise hali ingekuwa sio kabisa pale.
Mkuu sikukosea...MADRID KAMUUMIZA JUVE VIBAYA ILE USIKU JANA NA PENETRATIONS ZILIPIGWA KAMA KAWAIDA YETU [HASHTAG]#REAL[/HASHTAG]
Na hapo ndipo palipo na shughuli pevu hapo kesho sidhani kama Mid za Juve zitakubali Mid za Madrid zilete madhara.
Na jana Modric na kroos wameifanya vyema kazi yao pale dimbani...Good for them and team too!