OFFICIAL: Timo Werner is Chelsea Player

OFFICIAL: Timo Werner is Chelsea Player

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Team ya Chelsea hivi Leo wameconfirm usajili wa Timo Werner from RB Leipizig wa price clouse ya Paundi million 45 wa mkataba wake. Imeripotiwa Timo Werner atajiunga na Chelsea mwezi ujao(Mwezi wa 7) na atakuwa sehemu ya Kikosi Cha Chelsea itakaporudiana na Bayern Munich ligi ya mabingwa.

Usajili wa Timo Werner unakuwa wapili wa miamba hiyo ya London baada ya hapo awali kumsajili Winga wa kushoto na kiungo mshambuliaji hatari wa Ajax Hakim Ziyech. Hakim Ziyech amemaliza ligi before ya kuvunjwa kutokana na ugonjwa hatari wa Corona akiwa Ni top teyali Ni top assist wa ligi.
 
Hii takataka peleka kule katika kauzi kenu ka mkusanyiko wa vibaka ,hapa unatujazia seva.
Ova
 
Hahahaha khabari noma hizi..

CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
 
Aisee, apo Chelsea wameula.

Werner Ni Bonge la striker.
Ziyech Ni Bonge la winga mchezeshaji.

Usajili wa akili Sana huu,

Yaani Sijui ASENALI tunakwama wapi Jamani.
 
Back
Top Bottom