Ruge alikuwa India karudi mkuuRuge naona umerudi
Unamtafutia kifo kwenye mziki wake..yeye name Diamond ni Kama pilau na nyamaHarmonize namshauri atafute mgogoro na Diamond ikiwezekana aondoke WCB ili awe zaidi ya hapo.
Konde booooooyMmakonde yuko on fire, ni msanii no 1 kwa sasa hapa Bongo. Angalia nyimbo zake 2 alizotoa mwakahuu 'Kwangwaru' na 'DM Chick', halafu rudi kwenye Collabo ile aliyofanya na Krizbeats '911' na ile aliyofanya na mganda EddyKenzo, then maliza na hii aliyofanya na Skales, huyu mtoto kwasasa hashikiki hata boss wake anakaa, mwakahuu amefanya rasmi nijisajili kama shabiki wake na nampitisha rasmi kama msanii bora kabisa mwakahuu wa 2018 baada ya kuchukua kijiti cha Aslay aliyefanya vyema 2017
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliRuge naona umerudi