Officially nampitisha Harmonize kama msanii bora 2018

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,857
Reaction score
15,866
Mmakonde yuko on fire, ni msanii no 1 kwa sasa hapa Bongo. Angalia nyimbo zake 2 alizotoa mwakahuu 'Kwangwaru' na 'DM Chick', halafu rudi kwenye Collabo ile aliyofanya na Krizbeats '911' na ile aliyofanya na mganda EddyKenzo, then maliza na hii aliyofanya na Skales, huyu mtoto kwasasa hashikiki hata boss wake anakaa, mwakahuu amefanya rasmi nijisajili kama shabiki wake na nampitisha rasmi kama msanii bora kabisa mwakahuu wa 2018 baada ya kuchukua kijiti cha Aslay aliyefanya vyema 2017
 
Konde booooooy
 
Back
Top Bottom