Hawezi kuwa zaidi ya hapo akiondoka WCB jamaa anapewa attention kubwa na mondi kutoka na style yake ya kumfanya mondi ndie role model wake. Akiendelea kubaki WCB atakuwa zaidi ya hapo kwa kumtumia Dimond dogo atafika mbali sana.Harmonize namshauri atafute mgogoro na Diamond ikiwezekana aondoke WCB ili awe zaidi ya hapo.
"Mlingoti na Bendela"Hana hata mtu wa kumsaidia kuhakiki lugha? WIMBO MKUBWA HALAFU , UNAKWENDA STUDIO, UNATAMKA " BENDELA" badala ya BENDERA halafu produzer anaona poa tuu mpaka anautoa hako kakosa cha kijinga kinachokera kwenye masikio ya wasikilizaji hakukiona? wakati anafanya edditing na mixing suala la lugha hakujua lina umuhimu?
Kama unasubiri hilo utaliona mbinguniHarmonize namshauri atafute mgogoro na Diamond ikiwezekana aondoke WCB ili awe zaidi ya hapo.
Dogo kweli anajitahidi ila apunguze kuiga kila kitu toka kwa Boss wake..,
Aaaah kumbe! Basi aongeze bidii kwenye kuiga atafika mbali sana..,Kuiga ndo kumenfanya afike apo alipo fika mkuu
Hilo hatuwezi kumlaumu kuwa nano kwani ni asili alikozaliwa kukulia na kusomea. Lakini inapokuja kwenye suala la kuandaa program lazima uwe na wataalamu wa kuhakikisha ujinga kama huo haujitokezi. Uzuri kwenye recording za digital unaweza ku highlight kipande ulichokikosea na kukideleate na kuhakikisha unalazimisha matamshi ili kinaporuka hewani kisipate kukosolewa kwenye makosa ya kizembe " Negligent" Hapa wa kumlaumu sana ni aliye rekodi yeye aliona sawa hayo maneno mpaka anaadaa "master" kwake anaona sawa tuu???"Mlingoti na Bendela"
"Anamwendo wa Malingo"
"Na kazuli shepu sula"
Jamaa nahisi ana tatizo la matumizi ya "R" na "L"
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]konde boy,ukichimama nchale,ukijikuna nchale,
Basi hilo kosa si la Harmonize pekee bali la Management yake yote plus Diamond, siamini kama Harmonize anaweza kutoa wimbo bila kumsikilizisha Diamond/managersHilo hatuwezi kumlaumu kuwa nano kwani ni asili alikozaliwa kukulia na kusomea. Lakini inapokuja kwenye suala la kuandaa program lazima uwe na wataalamu wa kuhakikisha ujinga kama huo haujitokezi. Uzuri kwenye recording za digital unaweza ku highlight kipande ulichokikosea na kukideleate na kuhakikisha unalazimisha matamshi ili kinaporuka hewani kisipate kukosolewa kwenye makosa ya kizembe " Negligent" Hapa wa kumlaumu sana ni aliye rekodi yeye aliona sawa hayo maneno mpaka anaadaa "master" kwake anaona sawa tuu???
Pacha wa deo kisanduNi moja ya masanii ambaye sijawai elewa anachoimba..
Simtofautishi na sjui luludiva,maromboso,lavalava,saida kaloli nk nk
Fanya wainama wainuka....Kuna watu wataponda eti konde anamuiga bosi wake!!.. hao wawili wanafanana!.. ndo maana konde kaamua hata kupaka bleach ili tuu wapunguze mfanano!!... kwanza huu mwaka hakuna msanii mwenye kolabo nyingi kama konde boy... na tena kuna hii mpya sey shay ft konde boy... yaani jamaa ni [emoji91]