Officials panic as Tanzania sways Museveni on SGR

sijui kama huko tanzania huwa wanaimba the east african national anthemn...
Hiyo ni kwa nchi zote za Jumuiya kwa mujibu wa sheria mpya iliyoanza kutumika karibuni, Acheni kujipa sifa za kijinga, pendaneni wenyewe kwanza kabla ya kuhubiria wengine umoja.
 

Kenya yaifuata Tanzania kuhusu bendera ya EAC
  • 29 Julai 2016
Mshirikishe mwenzako
Baraza la mawaziri nchini kenya limeamrisha mara moja afisi za serikali na taasisi za umma kuanza kupeperusha na kutumia bendera ya Jumuiya ya Afrika Mashariki sambamba na kucheza wimbo wa Afrika Mashariki.

Agizo hili pia linazihusu shule zote nchini humo.

Nchini Tanzania, tayari kuna agizo kwamba Bendera ya Taifa inafaa kupeperushwa ikifuatiwa na Bendera ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, vivyo hivyo Wimbo wa Taifa utaanza kupigwa ukifuatiwa na Wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Mwandishi wa BBC David Wafula amezungumza na Waziri wa Utalii nchini Kenya Najib Balala ambaye alikuwa katika kamati iliyofanya uamuzi nchini Kenya na kwanza alimwuliza, umuhimu wa hatua hii ni upi?

Kenya yaifuata Tanzania kuhusu bendera ya EAC - BBC Swahili
 
sijui kama huko tanzania huwa wanaimba the east african national anthemn...
tokea mlipojifanya wajanja na kutokomea na ndege za EAC sasa hivi tupo makini,ushenzi hatutaki..maslahi ya nchi yetu ndio yanatangulia kwanza alafu mambo mengine ndio yanafata.kama mnaona your giving much on EAC ni bora mjitoe tu,mlizoea kusema TZ tunalalamika but sasa hivi naona nyie ndio mmezidi kulialia wakati ndio kwaaaaaaanza tumeanza kutunisha msuli.
 
kelele za chura.....Kenya hamtawahi kuifikia mpende msipende....mtajaribu kila kitu ila mtaambulia patupu wapuuuumbavuuuu
 
kelele za chura.....Kenya hamtawahi kuifikia mpende msipende....mtajaribu kila kitu ila mtaambulia patupu wapuuuumbavuuuu
Hahaha. Jamaa huwa unachekesha sana. Itabidi uwe unalala Library ili ujue nchi yako na uijue TZ kwa kiasi, utapa afya kujadili mada hapa.
 
Hii vita tamuu Xplorer n Annael. Mi nawasoma hapa taratibuuu..

Hawa jamaa mabwege kweli!!yaani kuimba wimbo wa EAC imekuwa ni headline na malalamiko kibaooo...sasa hivi kila kitu wanalialia: EPA wanalialia kwaajili ya msimamo wa kulinda viwanda vyetu huku maua yao yakidorora ,Oil pipeline wanalialia baada ya JPM kuwazidi ujanja,SGR wanalialia baada ya kugundua wamebambikiwa bei na train za 80's,SGR ya UG nayo wanalialia baada ya kuona JPM amesogeza mdomo wake,Comon Visa wanalialia baaada ya kugundua bila TZ hakuna kinachoweza kufanyika kwenye suala zima la utalii na msimamo wetu ni kwamba ujanja ujanja wao wa kutaka kuzitumia maliasili zetu kujinufaisha wao tulishazistukia zamaniiii,Yaaani leo hii wamegeuka watu wa kulialia badala wafanye kazi kama walivyokuwa wakijinasibu hapo awali.
 
This is the second time SGR is being touted as having gone south. Last time i checked a joint committee of Kenyans and Ugandans had gone to China to seek funding
Have you heard that China snubbed that meeting?
 
Rwanda has reaffirmed its commitment to the construction of the 2,000 kilometres-Northern Corridor Standard Gauge Railway line between Kigali and Mombasa, challenging its regional partners to speed up the work.
High Commissioner to Kenya James Kimonyo yesterday said his government is in the final stage of talks with China’s Export-Import Bank for a $1.2 billion (Sh123.5 billion) loan to fund the Rwandan section, which could begin
“We are getting ready to start as Kenya does its part and Uganda engages financiers from China. We have done a feasibility study and will begin soon after finalising talks with the Exim bank and other partners,” Kimonyo said in Nairobi, during this year’s Kenya-Rwanda business forum.
“We want Uganda to move with the same speed as Kenya.”
The new development is a boost to the Kenya’s SGR project, whose viability had been threatened by Uganda’s earlier threats to bolt out of a joint venture on the project. Rwanda was also reported to have chosen to re-route its standard gauge railway from the Uganda- Kenya line, and instead favoured a Tanzania route to Dar es Salaam.
He said Rwanda remains committed to regional integration, including developing the Kigali-Kampala-Eldoret refined petroleum pipeline, which will extend the existing comprehensive multi-product system within Kenya.
“We remain committed to ensure SGR and other infrastructure projects along the Northern Corridor works effectively,” Kimonyo said, calling on investors to fund projects and invest in the country, currently ranked first in the ease of doing business in East Africa by the World Bank.
Uncertainty on the SGR in the neighbouring countries had sent jitters in Kenya raising questions over its viability.
However, the financier of both the Kenyan and Ugandan lines, Exim Bank, is understood to have laid down conditions that two must appoint one operator to carry out maintenance work between Mombasa and Kampala, for the bank to consider any financing, according to Kenya Railways managing director Atanas Maina.
Uganda is negotiating a $2.3 billion (about Sh236.7 billion) loan with Exim Bank to fund an initial 273 kilometre track, linking Kampala to Kenya’s border town of Malaba.
The construction to be carried out by China Harbour Engineering Company is expected to take 40 months.
Kenya’s Sh327 billion-472 kilometresMombasa-Nairobi line was 98 per cent complete in December, according to Transport CS James Macharia.
The Kenya Railways Corporation has received 210 wagons so far out of a total of 1,620 that were ordered for the route.
Treasury secretary Henry Rotich is expected to fly to China to negotiate for more loans to build the Naivasha-Kisumu-Malaba line.
Kenya started test rides on the Mombasa-Nairobi SGR this month to ensure optimum performance once full operations begin in June.A test run on March 8 took two hours from Nairobi to Mtito Andei.

source:- Rwanda lauds Kenya's SGR progress, cuts a Sh124bn deal with China for own line
 
haux
 
....but your very stupid instead
 
Common Nyang'au, mou is not a legally binding agreement.....Don't fool people here....
 
Let him speak his mind....he is absolutely right....that is all about kenyans; bragging and boosting while ur nasty...
 
Hey guy, can't you argue in english?...kick the ass (Kenyans) in every angle....kama huwezi tuachie haya manyang'au tuwavuruge in any language....
 

Crazy! Tanzania LNG terminal is $30 billion.
 
Infrastructure is better???? infrastructure ya kenya ni better??? ya kule laikipia, bomet, turkana, nandi, siayabonndiko better???? wadanganye ambao hawaijui kenya.
 
Hey guy, can't you argue in english?...kick the ass (Kenyans) in every angle....kama huwezi tuachie haya manyang'au tuwavuruge in any language....
english ndio lugha ya baba yako? Is English your native language?????? english ndio inakuletea ugali mezani????? arrogance shall always destroy you people
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…