Officialtekno amshukuru Diamond kwa kupost kazi zake,wimbo mpya wa tekno-Rara.

haaaaa alipumzika kuja kushtuka kiti kimeshachukuliwa na simba
Amekuta kina vumbi la chuma la kilograms 100 kukifuta anashindwa kimebaki na vumbi za figisufigusu tu ndo anachoelewa yeye.
Mond ni MTU mwingine kazi wanayo sasa.!!
 
Mnafurahishaga na huyo R. Kelly, ile project mnaiota kila siku maana ndo sehemu ya kujitetea.
Project yenyewe ilikuwa "kwa hisani ya watu wa Marekani"
kiba ni mtu asiyeweza kujipigania.
kiswahili fasaha tunaita ZWAZWA
 
haaaaa alipumzika kuja kushtuka kiti kimeshachukuliwa na simba
Umeona eeeh! Hafu Leo anatumia nguvu nyingi zaidi....wakati alitakiwa akaze toka kipindi hiyo na Leo Diamond angekua anamfata na kumwambia "Broo nafanyaje niweze kupenya soko la International?"
 
Dogo yuko vizuri sana kwenye shooting zake na yeye kwa upande wake yuko juu
Shaking na beat yuko vizuri
Hata akitoa nyimbo kila wiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…