offisi ipi nilipie nipate ISBN ya Kitabu, please, mwenye address

Nenda maktaba ya taifa posta utapata ndio shirika pekee linalotoa hizo ISBN na ISSN hapa tanzania.
 
waheshimiwa,

nimeandika kitabu fulani hivi, natakiwa nipeleke vitabu viwili kwenye
bodi ya vitabu sijui ili wakikague na nilipie wanipe ISBN ya kitabu
changu, tafadhali, mwenye uelewa naomba anisaidie address ya bodi hiyo
ipo wapi, na ada yake huwa inakuwaje. thanks.

Nitafute,nitakupatia ISBN number na kama ni kupublish Kitabu chako
utapublish kwa gharama nafuu bila Bureaucracy wala mlolongo. Pia ukitaka
nafanya proofreading,editing na page setting na cover designing. Kwa
nyongeza, siku nyingine ukitaka kuandika kitabu unaleta tu concept yako
na skeleton outline ya Content unayotaka iwemo kwenye kitabu chako kisha
unaandaliwa kitabu chako mpaka cover design yake na kukabidhiwa soft
copy yake. Unaweza kuandikiwa vitabu vya Ushauri wa mahusiano kama
mapenzi,ndoa na uchumba. Vya afya,uchambuzi wa magonjwa na tiba zake za
hospitali au mbadala, Malezi ya watoto, kielimu kwa level ya Nursery
mpaka Secondary, Vya saikolojia, Riwaya fupi, makala,translations
zozote, Story za uzoefu wenye mafunzo kimaisha na chochote utakachotaka
kuandika kwa gharama nafuu sana na kiwango cha juu kwa kiingereza au
kiswahili. Nicheki kwenye email globalcorporatec@gmail.com kwa maelezo zaidi
na utumiwe samples za kazi endapo utahitaji.
 
kiswahili.
Nicheki kwenye email globalcorporatec@gmail.com kwa maelezo zaidi
na utumiwe samples za kazi endapo utahitaji.
ISBN hawatoi watu binafsi, wanatoa pale MAKTABA KUU YA TAIFA na unalipia kwa garama, sheria ndio inataka hivyo na unatakiwa kurudisha vitabu viwili pale baada ya kuprint. printing unaweza kuingia mkataba na kampuni yeyote ile na labda kampuni yako binafsi ndo wanaweza kuwa publisher, this is not done by shortcuts kama hizo, au labda kama unataka kunitapeli. wenzio humu ndani walishaniandikia ushauri mzuri nilipoenda kwenye ofisi hizo nimeshapata ISBN pale maktaba ya taifa na nimeshalipia na bar code pale sido. kuhusu kutunga kitabu, ni kitabu cha udaktari, si cha story za mtaani kama zako, hakihitaji mtu aandikiwe facts ili wewe ukiandike, zinahitaji mtu aliyesomea udaktari na kubobea kwasababu kile atakachoandika kinagusa uhai wa watu watakaofuata utakachoandika, hivyo, huwezi na huna hadhi hiyo katika hilo. kama hiyo ndo kazi yako naona we ni tapeli tu. nilishakiandika kitabu muda mrefu kipo kwenye soft copy, nimekiandika kwa muda wa miaka 5. ukitaka nitakupa kikusaidie katika afya ya mwili wako. pole sana kwa kuwa tapeli.

Nenda kasome Section 5(2) of the Tanzania Libary Services Board Act [Cap. 102 R.E 2002] ( a wengine wanaweza kuitaja kama ni No. 6 ya 1975).....
 
Well said Mkuu, watu wanadhani kila kitabu ni hadithi za kwenye magazeti ya udaku! Ati mtu umpe idea halafu yeye akuandikie, then Jina la Author liwe lako, kweli Tanzania tumezidi usanii!
 
Nitafute,nitakupatia ISBN number na kama ni kupublish Kitabu chako
utapublish kwa gharama nafuu bila Bureaucracy wala mlolongo. Pia ukitaka
nafanya proofreading,editing na page setting na cover designing. Kwa
nyongeza, siku nyingine ukitaka kuandika kitabu unaleta tu concept yako
na skeleton outline ya Content unayotaka iwemo kwenye kitabu chako kisha
unaandaliwa kitabu chako mpaka cover design yake na kukabidhiwa soft
copy yake. Unaweza kuandikiwa vitabu vya Ushauri wa mahusiano kama
mapenzi,ndoa na uchumba. Vya afya,uchambuzi wa magonjwa na tiba zake za
hospitali au mbadala, Malezi ya watoto, kielimu kwa level ya Nursery
mpaka Secondary, Vya saikolojia, Riwaya fupi, makala,translations
zozote, Story za uzoefu wenye mafunzo kimaisha na chochote utakachotaka
kuandika kwa gharama nafuu sana na kiwango cha juu kwa kiingereza au
kiswahili. Nicheki kwenye email globalcorporatec@gmail.com kwa maelezo zaidi
na utumiwe samples za kazi endapo utahitaji.

Unaweza kuzipata ISBN kwa publisher, wasiliana na globalcorporatec@gmail.com utapata
 
mpendwa nenda MAKTABA KUU YA TAIFA wao wanashiughuilika na masuala ya no hizo za ISBN wanatoa kwa gharama zao kwani hata mm nilikwenda pale kuchukua no ISBN ya kitabu changu walinipa kwa gharama zao, nikapewa risiti, naitaji kuwa na Bar code nitapata wapi ni hapo hapo SIDO wanatoa au kuna ofisi zipi? nijuze
 
Samahani kama tumekufanya uwe mwepesi wa kufikia wrong conclusions.
Sisi tulikuwa na interest ya kukuinterest kupublish kwetu, ISBN number haiwezi kutufanya tukutapeli,nadhani umeliona hilo baada ya kuwa umeipata na gharama uliyotumia. Sisi tulikuoffer tukiexpect wewe ungependa kuja kupublish kitabu kwetu,ni hivyo tu. Nasikitka kuwa umetoa kauli nyingi ambazo mpaka sasa najaribu kuzielewa.Remember hata publisher anaweza kuzitoa ISBN kwa mkataba.
Tuna mlolongo wa wateja wengi ambao tumewaandikia serious subjects kwa "mawazo yao",sio yetu na wakaappreciate sana huduma zetu.Wewe si wa kwanza. Thats why tulimention element ya kukutumia sample ya kazi tulizowahi kufanya,isitoshe ulikuwa na nafasi ya kudecline offer yetu badala ya lugha isiyo ya kistaarabu uliyotumia dhidi yetu. We understand that,humu kumejaa mambo ya ajabu lakini nataka kukuhakikishia kuwa hatukuwa na any ill intention juu ya haya. We understand that you and us got on the wrong foot and therefore we still invite you to try our services some day!
Have a Nice Evening!
 
mpendwa nenda MAKTABA KUU YA TAIFA wao wanashiughuilika na masuala ya no hizo za ISBN wanatoa kwa gharama zao kwani hata mm nilikwenda pale kuchukua no ISBN ya kitabu changu walinipa kwa gharama zao, nikapewa risiti, naitaji kuwa na Bar code nitapata wapi ni hapo hapo SIDO wanatoa au kuna ofisi zipi? nijuze
ukishafika tu pale sido getini, uliza walinzi,jengo la barcode liko wapi, watakuonyesha.
 
Samahani kama tumekufanya uwe mwepesi wa kufikia wrong conclusions. Sisi tulikuwa na interest ya kukuinterest kupublish kwetu, ISBN number haiwezi kutufanya tukutapeli,nadhani umeliona hilo baada ya kuwa umeipata na gharama uliyotumia. Sisi tulikuoffer tukiexpect wewe ungependa kuja kupublish kitabu kwetu,ni hivyo tu. Nasikitka kuwa umetoa kauli nyingi ambazo mpaka sasa najaribu kuzielewa.Remember hata publisher anaweza kuzitoa ISBN kwa mkataba. Tuna mlolongo wa wateja wengi ambao tumewaandikia serious subjects kwa "mawazo yao",sio yetu na wakaappreciate sana huduma zetu.Wewe si wa kwanza. Thats why tulimention element ya kukutumia sample ya kazi tulizowahi kufanya,isitoshe ulikuwa na nafasi ya kudecline offer yetu badala ya lugha isiyo ya kistaarabu uliyotumia dhidi yetu. We understand that,humu kumejaa mambo ya ajabu lakini nataka kukuhakikishia kuwa hatukuwa na any ill intention juu ya haya. We understand that you and us got on the wrong foot and therefore we still invite you to try our services some day! Have a Nice Evening!
mtumwa naomba ufunguke zaidi kuhusu gharama zenu. yaani bei ya kuchapisha(per page), kudesign cover, bei za macover na mtu akishachapisha usambazaji unafanyikaje na usalama wa kazi ukoje. nb naomba utujulishe mnafanyaje kazi zenu sio kutuambia tu hauna ill intentions. kama itakuwa fresh tutaweza fanya kazi pamoja.
 
Tz ina mambo ya kipekee sanaaaa

kwa
nyongeza, siku nyingine ukitaka kuandika kitabu unaleta tu concept yako
na skeleton outline ya content unayotaka iwemo kwenye kitabu chako kisha
unaandaliwa kitabu chako mpaka cover design yake na kukabidhiwa soft
copy yake. Unaweza kuandikiwa vitabu vya ushauri wa mahusiano kama
mapenzi,ndoa na uchumba. Vya afya,uchambuzi wa magonjwa na tiba zake za
hospitali au mbadala, malezi ya watoto, kielimu kwa level ya nursery
mpaka secondary, vya saikolojia, riwaya fupi, makala,translations
zozote, story za uzoefu wenye mafunzo kimaisha na chochote utakachotaka
kuandika kwa gharama nafuu sana na kiwango cha juu kwa kiingereza au
kiswahili.
 
mtumwa naomba ufunguke zaidi kuhusu gharama zenu. yaani bei ya kuchapisha(per page), kudesign cover, bei za macover na mtu akishachapisha usambazaji unafanyikaje na usalama wa kazi ukoje. nb naomba utujulishe mnafanyaje kazi zenu sio kutuambia tu hauna ill intentions. kama itakuwa fresh tutaweza fanya kazi pamoja.
Utaratibu ni kuwa unatuletea kitabu chako kikiwa katika soft copy ama katika mfumo ambao wewe umeuandaa na sisi tunakifanyia kazi kwa kuanzia na hatua ambayo wewe utakuwa umeifikia na kutokana na kile utakachohitaji. Kuhusu usalama wa kazi yako,hilo lisikutie shaka kwani sisi ni maadui wa wezi wa kazi za watu kwa sababu hatupendi mtu alietoa jasho lake adhulumiwe. Kuhusu mengine, tuandikie kwa kirefu juu ya yale unayohitaji kujua kwa kupitia email yetu ya: globalcorporatec@gmail.com nasi tutakujibu. kwa kirefu
 
Back
Top Bottom