BlackBerry
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 1,839
- 958
Hayajakukuta, yakikufika ndio utajua hapohapotatizo watu mapenzi tumeyaweka moyoni na kuwa kama shareholder wa utendaji wa moyo
wakati yanatakiwa yakae akilini tu na yakileta za kuleta una delete tu at any time
yaani kujiua kwa sababu ya mwanamke, na wakati wanawake ni wengi kuliko waume?
anaway by spiritual there is something behinde