Ofisa Mipango Chamwino ajiua.... baada ya kumshika mke na lijamaa

Hayajakukuta, yakikufika ndio utajua hapohapo
 
Kamanda wa polisi amesema risasi iliyompiga marehemu ulipitiliza na haikubaki mwilini. Je, hiyo risasi imepatikana eneo la tukio? na Je, ina match na bastola ya marehemu? Kama haimatch it means aliuliwa na hakujishoot mwenyewe.

utashangaa hakuna mtu atakayeuliza hili swali!
 
Wanawake huwa hawachitiki kabisa wanasingiziwa, they are so innocent like angles in the heaven.

Wewe ndo unaelewa mambo. Women don't cheat. They are faithful to a fault when in a relationship.
 
Nyani huachi kunishangaza........

Hivi kumkuta mkeo/mumeo na mwanaume/mwanamke Bar kunajustify fumanizi?? Au hapa kuna story behind??

Kwanza shikamoo mkubwa wangu. Sasa nimekushangaza kivipi Da'MwanajamiiOne? Ni kwamba umeshangaa mimi kuamini kuwa wanawake hawachiti au umeshangaa ujinga (naivete) wangu niliouonyesha kwa kuamini kuwa hawachiti?
 
Acha niteseke kwa mawazo muda mfupi ila kujiua neva..halafu kawakuta baa, angewakuta k'ndani!!..
Kama ulikuepo bi mkubwa.

Yani spati picha, yaani mtu anafikiria nini mpaka kujiua? Hasira ? aibu? wivu? Ok lets wivu, lakini wait..wivu unaskiaje wakati unajua hakukua na mapenzi ya kweli? Mtu kama anacheat manake sku zote ulipokuwa naye alikuwa ana kungong'a mwenyewe unaona umepaaaata..sasa ukijua kwamba hamna mapenzi si ndio inakuwa pouwa maana unajua maigizo yameisha kubwa la maadui kauawa. Hapo inabidi ushangilie badala ya kuhuzunika ati.
 
Namsikitikia sana huyu kijana kwani huko juu atakula moto na huku duniani mkewe wataendelea kujimegea kama kawaida.
ila c ajabu sana kwani nae kachukua jimama...mwanaume miaka 28 mke 34.
kila siku nasema kama una hasira silaha haikufai hata kidogo...ni bora angenunua juisi akanywa.
 
Hii haiwezekani bana! Toka lini wanawake wameanza kuchiti? Wanawake huwaga hawachiti bana. Huyo jamaa maisha tu yamemshinda na akaamua kujiua sasa wanamsingizia infii mkewe.

Bora wewe umesema...kujiua ni kukosa akili. Kwani wewe umezaliwa kuchungulia kitu moja tu? Kama na wengine wana access nacho, why don't you have other options as well including separating from a person who does not love you? Tuna vichwa, ila namna tunavyovitumia it makes a huge difference, kama age difference ya baba na mama wanaohusika na matukio haya, lol!
 
Na sio hivyo tu wanasema pia huyo dada mumewe wa awali alifariki kwa kupigwa risasi.
 
Hayajakukuta, yakikufika ndio utajua hapohapo

Hakuna hiyo kitu bwana...naona wengine tunaishi kwenye sayari tofauti...kwani hawa tunaowaona maofisini na barabarani sio wake za watu? Ni jinsi akili zetu tunavyo set
 
Nimesoma kwenye blog moja jamaa alianza kutembea na huyo mkewe akiwa mke wa mtu. Mumewe alipokufa (kwa kupigwa risasi) jamaa kachukua jumla yaani ndio kaoa. Sasa tabia haina dawa, na mtenda akitendwa.

Huu mwaka nilishasema ni wa cheaters!
 
fratuation love always huisha with tragedy. yametokea, yawefunzo kwetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…