Ofisa Mipango Chamwino ajiua.... baada ya kumshika mke na lijamaa

SAMAHANI KAMA KUNA MABINTI WATAKAO KASIRIKA, ILA INABIDI TU NICHANGIE KWA HAYA NINAYOYAONA. KWA UFUPI NI KWAMBA DODOMA HAKUNA MABINTI WA KUOA. MKOA HUU UMEHARIBIWA NA WAHESHIMIWA, YAANI KUNA JAMAA YANGU MMOJA AMBAYE TUNAFANYA NAE KAZI,ALIWAHI KUNIELEZA WAKATI NIKIWA BADO MGENI KWAMBA NDUGU YANGU, TANGA NDIKO MAPENZI YALIKOZalIWA, LAKINI HAPA DODOMA NDIPO MAPENZI YALIKOZIKIWA.NDUGU ZANGU HAWA MAAFISA WA SERIKALI PAMOJA NA WAHESHIMIWA WA MJENGONI(SIO WOTE) WANATAfuna sana wake za watu na mabinti wa vyuoni. na wengi wa wanaume waliooa hapa wameshazoea mazingira haya ingawa hawaweki wazi.hata mabinti wa mji huu utawakuta wana - maboyfriend zao (masharobaro) lkn ikifika kipindi cha bunge lololooooooo,tena usiombe mkeo akawa upande wa security utakoma. kwakuwa hawa hufanya kazi mpaka usiku wa manane utakuta wengine wanachakachuana hata ndani ya magari(iwapo watakuwa wamebaki wawili tu, tena wa jinsia tofauti). inasikitisha lakini wenyeji wameshazoea. unaoa lakini unakubali matokeo. inavyoonyesha huyu dogo hakuwa mwenyeji sana wa mji huu thats wy akachukua uamuzi huu mgumu,simlaumu sana kwa kuwa na ukimwi huu, lazima hasira zaweza pitiliza. jamani DODOMA INA WENYEWE,KUNA MABINTI KIBAO TU WANA MAgARI MAZUUUUURI, LAKINI UKIFUATILIA KWA UNDANI,UNAaambiwa aaah, hiyo nyumba ndogo ya muheshimiwa fulani.
 
Tatizo marehemu alikuwa msiri sana na mambo mengi alikuwa anaugulia moyoni asemi wazi wazi, hii ishu sisi washkaji tungemsaidia kusolve vzuri tu wala hata asingejiua. Kwa mliobahatika kumfahamu Fredy poleni sana, mimi bado nalia sana.Tangu juzi akili yangu imetekwa na huu msiba na najilaumu sana kwa kushindwa kuzuia kifo cha Fred.

Mara ya mwisho aliniambia amefurahi sana kurejea bongo kuungana na familia yake baada ya kusota S.Korea alikochukulia masters yake. Jamaa alikuwa na ndoto nyingi sana.

Nimeamini moyo wa mtu ni giza nene, wamama ficheni bastola za waume zenu ili kuepusha balaa kama hili.

RIP Fredy... Picha zetu za utotoni tukiwa tunacheza zinanijia sana and its a memory i cnt 4get. Umetangulia wengine tunafuata.
 
Kweli .enzi za Tembo beach .peninsula. Tina kamgisha.Anastela
.mwembeseco.


acha tu usikumbushie machungu.....tulikuwa tumepanga na marehemu one day tukatembelee haya maeneo tuliyokulia tukiambatana na familia zetu. Fredy, why did you go too soon. Hivi Anastela yupo?
 
Unamnyang'anyaje mwenzangu nanusa harufu mbaya hapa!
 
acha tu usikumbushie machungu.....tulikuwa tumepanga na marehemu one day tukatembelee haya maeneo tuliyokulia tukiambatana na familia zetu. Fredy, why did you go too soon. Hivi Anastela yupo?
Atleast mngegundua huko tatizo kwa kuwa nae karibu poleni sana
 
Leonardo, Poleni sana.


...Naamini ndoto mojawapo ilikuwa maisha mazuri ya familia yake.

wamama ficheni bastola za waume zenu ili kuepusha balaa kama hili..

...kuua na kujiua hata kamba na panga vinatosha. Suluhisho sio kuficha silaha
bali kuepuka uchokozi utaomfanya mwenza apandwe na hasira kiasi cha kutumia silaha.



 

Nashukuru tushapoa japo inauma sana.

Kinachoniuma zaidi ni mustakabali wa wadogo zake. Marehemu alikuwa yatima, kwa wadogo zake ambao bado wako masomoni yeye ndio alikuwa mlezi na aliwajali sana. Sasa mambo yameharibika kiasi hiki sijui madogo watakuwa kwenye hali gani. Hivi kisheria wanaweza pata walau chochote kutoka kwa kaka yao au ndio mke wa ndoa anachukua kila kitu? Jamaa ameondoka mapema mno hakuwafikiria hata watoto na wadogo zake. Aisee acheni tu.
 
Nimesoma kwenye blog moja jamaa alianza kutembea na huyo mkewe akiwa mke wa mtu. Mumewe alipokufa (kwa kupigwa risasi) jamaa kachukua jumla yaani ndio kaoa. Sasa tabia haina dawa, na mtenda akitendwa.

Huu mwaka nilishasema ni wa cheaters!

okey kama alijiingiza kny mapenzi na huyo dada bado akiwa ni mke wa mtu police wachunguze tena inawezekana hii ikawa MOTIVE some people wanted him dead.......
 
Sasa mbona mme aliyekuwa anaibiwa na marehemu alishakufa? Nani sasa atakuwa mshukiwa. Mbona kila kitu ni black and white. SI amejiua kweupe.

Ila nilichotaka kusema ni kuwa kama huyo marehemu alijiona yeye ni mwanaume wa nguvu kuingilia ndoa ya watu alikosea. Kwani huyo mwanamke uzinzi ni tabia yake. Ndio maana hata baada ya kuolewa (mara ya pili sijui mara ya nne) na aliyekuwa anazini nae bado ameendelea kutoka nje ya ndoa. Kama ni kweli lakini maana si unajua mablog tena kila mtu anasema lake.

okey kama alijiingiza kny mapenzi na huyo dada bado akiwa ni mke wa mtu police wachunguze tena inawezekana hii ikawa MOTIVE some people wanted him dead.......
 
okey kama alijiingiza kny mapenzi na huyo dada bado akiwa ni mke wa mtu police wachunguze tena inawezekana hii ikawa MOTIVE some people wanted him dead.......
Au kisasi ndugu wa yule marehemu?
 
<p> </p>
<p>&nbsp;</p>




nakuja bdaye,ngoja niende nkawaletee intelijency report.
 
RIP Homeboy. Nilikuwa simfahamu huyu jamaa wala sijawahi kumsikia.

Ila jina la Kaombwe, ni jina la kwetu kabisa. Nawapa pole kweli wadogo zake na watoto kwani maisha yatageuka miguu juu kichwa chini. I wish serikali ingelikuwa walau inajali vijana yatima wanaosoma shule.....

Hata Adui yako, usimuombee hilo....
 
jamani TUWAFANYIE TATHIMINI WAPENZI/WAKE ZETU, Km nyendo haziridhishi dawa ni kupiga chini!
 
jamani TUWAFANYIE TATHIMINI WAPENZI/WAKE ZETU, Km nyendo haziridhishi dawa ni kupiga chini mapema kabla hutujajipiga risasi!
 

Leonardo,pole sana mkuu wangu....Ukweli ni kwamba hata mimi naasikitikia sana wadogo zake Fredy.Binafsi dogo Fredy alikuwa mtu wangu wa karibu sana na nadiriki kusema kwamba ni mmoja wapo wa washauri wake wa karibu hasa kipindi kile alipofiwa na wazazi wake na kuachiwa mali huku yeye akiwa ni mwanafunzi wa pale IRDP....Vicky!!!!!,kwa nini kila mumewe anakufa kwa risasi?,marehemu Deo(wa IFAD) alikufa kwa risasi getini na majambazi na kumuachia mali zake,Fredy naye anadaiwa kujiua kwa risasi getini.......Kunani hapa?.....Pamoja na kuajiriwa Fredy alikuwa mtafutaji mzuri sana na alikuwa akifanya biashara ya kuuza magari ambayo ilimuingizia fedha nyingi tu.......Kifo cha Fredy kinaniuma sana...

Nakumbuka Jumapili iliyopita nilikutana na Fredy CRDB Dodoma tukasalimiana kisha akaingia ndani ya gari yake aina ya Toyota Harrier na tangu hapo sijaonana naye tena badala yake napewa taarifa nikiwa safarini kuwa dogo kajishoot!!!!!!!.......So sad

Polisi wanapaswa kueleza habari kamili maana inaonekana kuna mengi yamejificha kwani mwanaume anayedaiwa kuwa na Vicky ambaye majina yake yote mawili yanaanzia na herufi M(M.... M....) ni Askari Polisi na ni(alikuwa) mchezaji wa timu ya Polisi Dom(Polisi Tanzania) na kwa sasa ni mwanafunzi wa SJUT......Cha ajabu wanasema Vicky kapigwa risasi na ana hali mbaya yupo ICU kitu mbacho si kweli kwani Vicky yu mzima buheri wa afya,alichopata ni mshituko tu.......Inasikitisha sana.......Pumzika kwa amani mdogo wangu Nkwingwa Fredy,daima nitakukumbuka....

Kuna mengi yamejificha hapa.........Ukweli utajulikana tu...

Bala.
 
From what I have gathered so far huyo hakuwa mke, alivaa mkenge. Yawezekana akimchoka mwanaume anaua ili achukue mali. Utasikia sasa hivi kaolewa na huyo polisi wake. Na huyo marehemu sijuhi kwa nini aende kuoa mwanamke aged au mama ana kimzizi.

 
Bakantanda,

Mie ni mpenzi wa kuangalia Investgestion Discovery (ID) TV. Kwa hayo uliyoyaandika hapo juu, huyu mama LAZIMA achunguzwe kwa uhakika zaidi. Inaonekana kuna njama zilishasukwa ili kummaliza jamaa. Haiwezekani wanaume wawili wanakufa kwa RISASI wakiwa na huyu mama. Panga pangua hapa kuna namna,

Kama kuna watu wa karibu yake hasa usalama wa Taifa, basi huyu POLISI hawezi kabisa kuwa tishio kwenu. Fuatilieni hili tukio hadi kilichotokea hapo kijulikane. Msimuache huyu mama akaja kuuwa mwingine (kama ni kweli anahusika).

RIP Kaombwe,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…