Ofisa Mipango Chamwino ajiua.... baada ya kumshika mke na lijamaa

Ofisa Mipango Chamwino ajiua.... baada ya kumshika mke na lijamaa

Nilisikia habari hiyo kwa sister yangu alikuwa anaishi huko dodoma inasikitisha kweli tena wengine wadogo sana, bongo ukimwi utawamaliza watu.




SAMAHANI KAMA KUNA MABINTI WATAKAO KASIRIKA, ILA INABIDI TU NICHANGIE KWA HAYA NINAYOYAONA. KWA UFUPI NI KWAMBA DODOMA HAKUNA MABINTI WA KUOA. MKOA HUU UMEHARIBIWA NA WAHESHIMIWA, YAANI KUNA JAMAA YANGU MMOJA AMBAYE TUNAFANYA NAE KAZI,ALIWAHI KUNIELEZA WAKATI NIKIWA BADO MGENI KWAMBA NDUGU YANGU, TANGA NDIKO MAPENZI YALIKOZalIWA, LAKINI HAPA DODOMA NDIPO MAPENZI YALIKOZIKIWA.NDUGU ZANGU HAWA MAAFISA WA SERIKALI PAMOJA NA WAHESHIMIWA WA MJENGONI(SIO WOTE) WANATAfuna sana wake za watu na mabinti wa vyuoni. na wengi wa wanaume waliooa hapa wameshazoea mazingira haya ingawa hawaweki wazi.hata mabinti wa mji huu utawakuta wana - maboyfriend zao (masharobaro) lkn ikifika kipindi cha bunge lololooooooo,tena usiombe mkeo akawa upande wa security utakoma. kwakuwa hawa hufanya kazi mpaka usiku wa manane utakuta wengine wanachakachuana hata ndani ya magari(iwapo watakuwa wamebaki wawili tu, tena wa jinsia tofauti). inasikitisha lakini wenyeji wameshazoea. unaoa lakini unakubali matokeo. inavyoonyesha huyu dogo hakuwa mwenyeji sana wa mji huu thats wy akachukua uamuzi huu mgumu,simlaumu sana kwa kuwa na ukimwi huu, lazima hasira zaweza pitiliza. jamani DODOMA INA WENYEWE,KUNA MABINTI KIBAO TU WANA MAgARI MAZUUUUURI, LAKINI UKIFUATILIA KWA UNDANI,UNAaambiwa aaah, hiyo nyumba ndogo ya muheshimiwa fulani.
 
Hii haiwezekani bana! Toka lini wanawake wameanza kuchiti? Wanawake huwaga hawachiti bana. Huyo jamaa maisha tu yamemshinda na akaamua kujiua sasa wanamsingizia infii mkewe.

Nikweli kabisa, wanawake hua hawa chiti ni wanaume tu ndo kaziao.
 
Duh, kweli shetani wa mtu ni mtu, sijui ndo tumuite kafa kishujaaa? au hasira zimemponza.
 
we we weeee,ishia hapo hapo,ndo unavyojidanganya hivyo,mimi tu hapa mke wa mtu kaniganda mbaya,huwa nachakachua kiaina,sasa hawachiti vp?au waolewe kabisa mara mbili?

kudaa dadadadekiiiii1
 
ebwana huyu bwana tunaishi nae jilan hapa kitaani, magorofa mengi kikuyu! Huyo mwanamke huyu ni mume wake wa 3 kati ya wa4 kufariki tena kwa kupigwa au kujipiga risasi. Mmoja aliyenusurika mpaka sasa ni chizi, mwili wa jamaa keshasafirishwa kwenda tabora kwa mazishi. Mungu ampumzishe mahala pema!

Mamaaa! kumbe si bure wazazi wetu hua wanapenda sana mtu anapoenda kutambulisha mtu wa kuoa au kuolewa mara nyingi wazazi hupenda kujua katokea familia gani ukoo wao ukoje, wanatabia au magonjwa gani ya kurithi kwa nia nzuri tu na faida yetu. wazee wetu wanawaza mbali sana ila sisi hua tunang'ang'nia sometimes.Im sure huyu jamaa alifahamu fununu za hao walotangulia ila pengine hakupenda ushauri.So sad anywayz RIP.
 
Mamaaa! kumbe si bure wazazi wetu hua wanapenda sana mtu anapoenda kutambulisha mtu wa kuoa au kuolewa mara nyingi wazazi hupenda kujua katokea familia gani ukoo wao ukoje, wanatabia au magonjwa gani ya kurithi kwa nia nzuri tu na faida yetu. wazee wetu wanawaza mbali sana ila sisi hua tunang'ang'nia sometimes.Im sure huyu jamaa alifahamu fununu za hao walotangulia ila pengine hakupenda ushauri.So sad anywayz RIP.

Angalia pande zote usiangalie moja tuu, Upande mwingine unasema Marehemu alikua ana cheat na huyu dada ambaye alikua kaolewa .

Mume wa huyo dada aliuliwa na inasemekana majambazi na huyu marehemu Freddy (Inasemekana ni alikuw arafikia wa Mume wa kwanza wa Vicky) akaja kuoa mara baada ya Msiba kwisha , huoni hapo pia kuna swali , haswa ukizingatia huyu Marehemu Freddy ana uwezo wa kuua ? nikiwa na maana ya kua alijaribu kuua mkewe na akajiua wemnyewe.

Zaidi inavyosema Marehemu ni mfanya biashara na alikua anajitahidi sana kwenye biashara zake, je wafanya biashara wangapi vijana walio sucsessful ambao sio wajuaji wa mjini?

Huyu Marehemu lazima ni mjanja na mtu wa mjini ,anaye jua kila kitu, haswa ukizingatia biashara yake ya magari, ili uweze kuuza magari lazima uwe unajuliakana , nikiwa na maana kujuana na watu wengi wa kila namna.

Hapo je haiwezekani huyu Marehemu hawezi kodisha majamabzi wakamuua mume wa Vicky sababu kama tulivyo onyeshwa hapo ni kwamba Marehemu alikua na mapenzi sana na VIcky je ,mapenzi ya mbaka kutaka kuua yalianza lini, je hayakuwepo wakati Vicky kaolewa na muwe wa kwanza?

Mbaka sasa naona hakuna anye elezea , habari ya Vicky wala maiti ilikuta na jeraha la namna gani, nadhani teari ukweli umejulikana na watu amefunga midomo, kujua kua Marehemu kajiua mwenywe sababu ya wivu wa mapenzi.

Again Police wa Tanzania sio wazembe kihivyo kudakia jambo kubwa kama hili na halafu na watu (marafiki wa Freddy) kusema eti Media ina twist habari,

Kumbukeni violent people mara zote huwa wanacheka na huwezi jua tabia zao sababu wazuri kuzificha,

Angalia huko matukiao ya marekani na kwingine haswa wale wanao shoot wanafunzi wenzao mashuleni , utasikai ooh alikua a very nice kid, sasa kiko wapi mbana kaua watu,S mile na ucheshi visiwadanganye !
 
Huyu jamaa alikua na tatizo la akili,inawezekana kutkana na mambo makubwa yaliyo msibu maishani, moja wapo ni kukosa wazazi. Ina wezekana huyo Vicky alikua anamchukulia kama mzazi wake kwa kutokana kukosa mama.Angalia jizi history yake ya kulia lia alio kua mtoto, pamoja na tabia ya usiri, wasiri wengi wana weza fanay kitu so evil mkabaki kushangaa.

Sijui kwa wanao mfahamu ila habari ina sema kwamba, huyu Marehemu alikua na uhusiano wa mapenzi kabla hata huyo Mume wa Vicky kufariki na baada ya kuuwawa ndio waka funga ndoa.

Sasa kwanini tusiconnect dots kwa upande mwingine . Hapa kuna mume wa mtu kauwawa na baada ya muda kaolewa na kijana ambaye ni katelekeza tendo kubwa la kujaribu kuua na kujiua mwenywe , je hatuwezi hisi kwa upande mwingine ni Freddy ndio kamuua Deo (mume wa Vicky wa kwanza) na kwa kua Freddy ndio mwenye tabia ya kua so violent mbaka kutumia silaha . hatuoni inawezekana huyu Freddy ndio muuaji?

Wengi wanamapenzi na Fredy ndio mana wanakataa ukweli halisi, ila kuna uwezekano mkubwa Vicky hajausika kwa lolote ,ila anacho hukumiwa nitabia yake ya ku cheat nje ya ndoa. Police hawawezi tengeneza story ya kustukiza hivyo watete uapnde wa Vicky ghafla hivyo!

kweli kua uyaone, hii ni kama movie
wakuu kama kuna mtu anapicha ya viky tafadhali hatuwekee hapa maana hii imekaa kitamthilia sana,
 
Sawia kabisa Mamushka! Mijanaume miibilisi sana. Kutwa kucha inawaza kufanya ngono. Poleni nyie malaika wa kike.

miafrika inafanya na nani?
mtoa na mpewa ngono wote ni wazinzi tusitafune maneno wakuu
 
Latest news nilizozipata ni kwamba Fredy hajajiua, Fredy ameuwawa na polisi dodoma. Mkumbuke mwizi wa Fredy ni polisi wa dodoma ambaye anasoma Chuo cha St.John, na siku ya tukio mwizi huyo (polisi) alikuwa na Vicky. Fredy alipigwa risasi ya ubavuni, sehemu ambayo ni ngumu sana kwa mtu kujipiga mwenyewe (na sio kifuani kama vyombo vya habari inavyoripoti), risasi iliyomuua Fredy haijapatikana eneo la tukio, simu ya marehemu haijulikani ilipo na Vicky hajapigwa risasi hata moja kama vyombo vya habari vinavyoripoti.

Hii yote inaonesha kwamba habari iliyotolewa kwenye vyombo vya habari na polisi ni ya uzushi na uongo mtupu. Kwakuwa mmoja wa watuhumiwa ni polisi, na Polisi imeanza kwa kutoa habari zisizo za kweli kuhusu tukio zima, Polisi pia hatuwaamini katika uchunguzi wa kifo cha marehemu.

Naomba kama kuna ndugu wa huyo polisi au Vicky wanapita hapa JF muwa taarifu kabisa kwamba maisha yao yako hatarini, Watu wa dodoma wana hasira na uchungu sana na kifo cha Fredy.
 
Latest news nilizozipata ni kwamba Fredy hajajiua, Fredy ameuwawa na polisi dodoma. Mkumbuke mwizi wa Fredy ni polisi wa dodoma ambaye anasoma Chuo cha St.John, na siku ya tukio mwizi huyo (polisi) alikuwa na Vicky. Fredy alipigwa risasi ya ubavuni, sehemu ambayo ni ngumu sana kwa mtu kujipiga mwenyewe (na sio kifuani kama vyombo vya habari inavyoripoti), risasi iliyomuua Fredy haijapatikana eneo la tukio, simu ya marehemu haijulikani ilipo na Vicky hajapigwa risasi hata moja kama vyombo vya habari vinavyoripoti.

Hii yote inaonesha kwamba habari iliyotolewa kwenye vyombo vya habari na polisi ni ya uzushi na uongo mtupu. Kwakuwa mmoja wa watuhumiwa ni polisi, na Polisi imeanza kwa kutoa habari zisizo za kweli kuhusu tukio zima, Polisi pia hatuwaamini katika uchunguzi wa kifo cha marehemu.

Naomba kama kuna ndugu wa huyo polisi au Vicky wanapita hapa JF muwa taarifu kabisa kwamba maisha yao yako hatarini, Watu wa dodoma wana hasira na uchungu sana na kifo cha Fredy.
Hapa sasa patamu, sijui kama INVISIBLE unaweza kusaidi wengine mikono yetu iko mbali na eneo la tukio,
wanajamvi wa DODOMA , tunaomba DATA nafadhali.
 
Kina Kanumba wamepata Movie ya ku-act...(Based kwenye TRUE STORY...)

duh hujatulia wewe
nimependa mtazamo wako umekaa kibiashara zaidi, hao unaosema wanawaza NGONO tu ,hakuna kitu wanachoweza kufanya taifa kujivunia, kama movie hakuna kushikana shikana ili wapate soko la ngono za ukweli hawapendi kapisa movie zinazoelimisha umma.
 
acha tu usikumbushie machungu.....tulikuwa tumepanga na marehemu one day tukatembelee haya maeneo tuliyokulia tukiambatana na familia zetu. Fredy, why did you go too soon. Hivi Anastela yupo?
Upo mwanza .nae pia alipopata taarifa ya msiba alipoteza fahamu.
 
Ni kweli msiba wa fred ni kizungumkuti hadi sasa, japokuwa sikuwahi kumfahamu fred lakini nilihudhuria siku ya kuaga mwili wa marehemu,watu walikuwa ni wengi saaana,ni msiba uliogusa kila mtu,na yalisemwa mengi pale,japo katika nasaa hawakuzungumzia suala la alikufa vipi...huwa wenzetu wanafanya uchunguzi wa kisayansi kwenye matukio kama haya,Forensics investigation..na wanapata ushahidi wa kutosha ili kujiridhisha na namna tukio lilivyotokea...kwanini hilo lisifanyike? na kama polisi hawana vifaa vya kisasa vya forensic,basi zianzishwe private investigative agencies ili haki ipatikane kwa matukio kama haya.R.I.P FRED
 
freddy na mkewe walikuwa marafiki wetu (mimi na mke wangu) wa karibu! nakiri nimeshindwa kabisa kutoa maoni!
 
Back
Top Bottom