Mtunga sheria kumbe alikua hajui sheria zilizotungwa...bunge letu nyakati hiz bado tunaingiza watu kwa kigezo cha kujua kusoma na kuandika...tupo nyuma sana
Huyu alicheza vizuri na upepo! Maana alijua kabisa hapo hawezi kula rushwa. Ingekuwa kwa mtu mwingine angechukua hela. Kati ya taasisi za umma zinazoongoza kwa kula rushwa kubwa kubwa hapa Tanzania ni TRA!
Magari si wanayapitisha wenyewe hao mtu anaenda kukagua huku akijua kilichofanyika sema wasiojua kinachofanyika wanaona kama mtu kakaa zake Kinondoni na kuwadanganya TRA kitu ambacho sio kweli..