Ofisi moja kuwa na wanawake waliobarikiwa tume ya maadili iko wapi?

Mdada wa usafi sio haba
Secretary balaa tupu
Cashier homa ya jiji
Mhasibu another trouble

Afu tume ya maadili wapo kimya kama mabubu wenzao takukuru hawaoni kama vipofu

Wewe umeenda kufanya kazi au kuangalia wasichana?
Ukitaka upoteze kazi kwenye ajira hasa za private sector ambapo watu wapo serious na kazi au niseme kazi inapimwa kwa matokeo, uwe mtu wa kuanzisha mahusiano kwenye kazi yako.....ni suala la muda tu, watakutema....
 
Ukiingia kwenye choo (toilet) cha ofisi ya namna hiyo lazima ukutane na vitu vyeupe mithili ya makamasi.

Ukivichunguza vitu hivyo vyeupe kwa makini unagundua kuwa ni ni mbegu za binadamau. .

adriz Allen Kilewella.
Huwa wanatupa shida sana hasa sisi wakulungwa tusioweza kujieleza mambo ya msingi mbele ya makalio makubwa tunawazaga mbususu tu, mtu nimefata kitu flani badala ya kuelezea shida nabaki nimepigwa na butwaa tu, mwisho naambulia kuomba namba ya simu natembea mbele bila huduma.
 
Mdada wa usafi sio haba
Secretary balaa tupu
Cashier homa ya jiji
Mhasibu another trouble

Afu tume ya maadili wapo kimya kama mabubu wenzao takukuru hawaoni kama vipofu
Tupiamo tukitu kitu tuonemoo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…