Ofisi moja kuwa na wanawake waliobarikiwa tume ya maadili iko wapi?

Kwa kweli tunapoteza focus tukutanapo na watu kama hawa mkuu.
 
Daah umenichekesha sana aisee...
 
Kuna Private Hospital moja nilienda last week, kwakweli kuna manesi watatu wana makalio makubwa na mazuri sana sheikh...kwa haraka haraka waweza sema waliongezewa makalio na ulaini wake

Ama ni kigezo cha kupata ajira mahali hapo
 
Added advantage kwenye CV
 
Mdada wa usafi sio haba
Secretary balaa tupu
Cashier homa ya jiji
Mhasibu another trouble

Afu tume ya maadili wapo kimya kama mabubu wenzao takukuru hawaoni kama vipofu
Mapumziko ya wakubwa hayo.....
Jichanganye uone kama hujahamishiwa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…