Ofisi moja,section moja na mkeo/mmeo.kazi itafanyika?

Tall

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2010
Posts
1,425
Reaction score
168
Kuna wanaodai kuwa,ni bora sana MME NA MKE wakawa sehemu moja kazini wanasema faida ni nyingi tu. Na wengine wanadai hiyo haifai kabisa bora kuacha kazi kuliko kufanya kazi sehemu moja na mkeo/mmeo.TIJA ITAONGEZEKA AU ITASHUKA?(PRODUCTIVITY)mnasemaje jf?.Kuna jamaa hapa yeye na mkewe wote wahasibu,inaelekea walikutana chuoni.Mke alikuwa anafanya kazi mikoani(serikalini)sasa jamaa baada ya kuomba aletewe mkewe, wakuu wamemrejesha Dar lakini wamemweka ofisi moja section moja na mkewe,room moja.Jamaa kachanganyikiwa, anasema ofisi ziko nyingi tu mjini kwa nini wamempangia ofisini kwangu?au kunikomoa?........nilimuuliza tu kuwa kuna ubayagani kukitazama kutwa nzima kile ukipendacho?... sio siri...swali langu hakulipenda sana.
 
Ofisi moja na mkeo ndio safi.
Mambo kama vipi mnaenda zenu faragha mnadumisha mila na desturi za sakramenti ya ndoa.
 
Taabu yake kuwe na kasheshe nyumbani halafu mkanuniana je mtaelekezana kazi siku hiyo. Mimi naona haifai kuwa ofisi moja
 
si jambo jema muwe ofisi moja haipendezi ..na ofisi zetu hizi mkikaa group utadhani mko form two hahaha..
 
Ofisi moja na mkeo ndio safi.
Mambo kama vipi mnaenda zenu faragha mnadumisha mila na desturi za sakramenti ya ndoa.


kaaaaaaaaaaaaaaazi kweli kweli! sasa hapo kazi itatendeka?
 
Ila raha yake moja, man to mana supervision, hakuna cha nilkuwa foleni ama bosi kaniongezea kazi yenye deadline! hahaaa patamu hapo!
 

Mimi binafsi it won't work! Kuna sababu ya kuwa na office life and home life. Pia kuondoa ule upendeleo - by nature you will always be favouring you hubby au wife, halafu tena office kuifanya home ground. Nadhani there should be a demarcation. Baadhi ya makampuni wameweka sera kabisa ambapo mume, mke au ndugu hawawezi kuwa katika idara moja. Eti mumu unaripoti kwa wife au vice versa...
 
i think pia inaweza kudumaza namna mnavyoichukulia kazi na workmate. it is not good at all.
 
A BIg NO... because it is difficult to separate business and personal life when u r working together.. I cant imagine....
 
.".....nilimuuliza tu kuwa kuna ubayagani kukitazama kutwa nzima kile ukipendacho?... sio siri...swali langu hakulipenda sana....."
Shukuru Mungu alikua mshkaji wako Swali gani hiloo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…