OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Chama cha ACT-Wazalendo kinazindua ofisi yake mpya ya Makao Makuu iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam.
Bila kujali walipataje ofisi,lakini ACT wamepata ofisi nzuri yenye hadhi. Sasa wametaje ofisi hiyo ni mada nyingine kabisa.
ACT kupata ofisi kiujanja ujanja sio sababu ya nyie kutokuwa na Ofisi Kali. Ofisi ya sasa hailingani na hadhi na umri wa chama. Ni sawa na dingi anayeishi kwenye nyumba ya kupanga.
Oneni aibu jengeni ofisi bwana.
Nami nikija Dar nitaenda kushangaa ofisi ya ACT