Ofisi ya ACT Wazalendo, CHADEMA isijifiche kwenye kivuli cha fimbo

Niliona chadema makambako wakiwa bize kujenga ofisi ya kisasa nikajiuliza je CDM makao makuu hawalioni hilo???? Pesa ngapi wanazochangisha wanachama wao pesa ngp wanapata kutoka kwa wafadhili wao hii ni aibu ACT wamewavua nguo chutameni.huu uongo wa kina lema utakuja kufika mwisho na wanachama wenu watawachoka kila mtu anapenda sifa kila mwanachadema anatamani afike HQ apige picha sasa nani atapiga picha hapo getoni
 
..hivi hamuwaoni Wahindi mamilionea wanaishi ktk nyumba za Msajili?

..chama kina mambo na program nyingi za kufanya zaidi ya kuelekeza fedha kujenga Ofisi za kifahari.

..Ni busara nguvu na fedha kidogo zinazopatikana zitumike kuhudumia kazi za chama majimboni kuliko kung'arisha makao makuu.

NB:

..hata FBI ya Marekani hawamiliki majengo ya makao makuu yao bali wamepanga.
 
View attachment 2402131
Chama cha ACT-Wazalendo kinazindua ofisi yake mpya ya Makao Makuu iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam.

Bila kujali walipataje ofisi,lakini ACT wamepata ofisi nzuri yenye hadhi. Sasa wametaje ofisi hiyo ni mada nyingine kabisa.

ACT kupata ofisi kiujanja ujanja sio sababu ya nyie kutokuwa na Ofisi Kali. Ofisi ya sasa hailingani na hadhi na umri wa chama. Ni sawa na dingi anayeishi kwenye nyumba ya kupanga.
Oneni aibu jengeni ofisi bwana.
View attachment 2402155

Nami nikija Dar nitaenda kushangaa ofisi ya ACT
CUF walisha itumiaga kama offisi, hio ni nyumba ya ya mtu binafisi
 
Niliona chadema makambako wakiwa bize kujenga ofisi ya kisasa nikajiuliza je CDM makao makuu hawalioni hilo???? Pesa ngapi wanazochangisha wanachama wao pesa ngp wanapata kutoka kwa wafadhili wao hii ni aibu ACT wamewavua nguo chutameni.huu uongo wa kina lema utakuja kufika mwisho na wanachama wenu watawachoka kila mtu anapenda sifa kila mwanachadema anatamani afike HQ apige picha sasa nani atapiga picha hapo getoni
We pimbia kuna Mashirika yana pesa za kufa mtu na wamepanga, Wahindi wamepanga, Kuwa na Offisi si kwamba ndio tija, CCM ina offisi kila wilaya je hizo offisi zao zimesaidia vipi kupunguza umasikini?
 
View attachment 2402131
Chama cha ACT-Wazalendo kinazindua ofisi yake mpya ya Makao Makuu iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam.

Bila kujali walipataje ofisi,lakini ACT wamepata ofisi nzuri yenye hadhi. Sasa wametaje ofisi hiyo ni mada nyingine kabisa.

ACT kupata ofisi kiujanja ujanja sio sababu ya nyie kutokuwa na Ofisi Kali. Ofisi ya sasa hailingani na hadhi na umri wa chama. Ni sawa na dingi anayeishi kwenye nyumba ya kupanga.
Oneni aibu jengeni ofisi bwana.
View attachment 2402155

Nami nikija Dar nitaenda kushangaa ofisi ya ACT
Wanasema ofisi wao wametawanya nchi nzima, sio vizuri kua na mjengo mkubwa sehem 1
 
View attachment 2402131
Chama cha ACT-Wazalendo kinazindua ofisi yake mpya ya Makao Makuu iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam.

Bila kujali walipataje ofisi,lakini ACT wamepata ofisi nzuri yenye hadhi. Sasa wametaje ofisi hiyo ni mada nyingine kabisa.

ACT kupata ofisi kiujanja ujanja sio sababu ya nyie kutokuwa na Ofisi Kali. Ofisi ya sasa hailingani na hadhi na umri wa chama. Ni sawa na dingi anayeishi kwenye nyumba ya kupanga.
Oneni aibu jengeni ofisi bwana.
View attachment 2402155

Nami nikija Dar nitaenda kushangaa ofisi ya ACT
Mhm haya huku ngoja niheshimu tu maoni yako maana leo tunakipiga kutafuta point tatu muhimu
 
Hiki ndio kinafanya Chadema isijenge ofisi?
What is your argument anyway? Kila Chama kina priority zaek. You and ACT priority yenu ni majengo "mazuri", CDM not now!
By the way, Kwa Bongo haiwezekani ACT wakajenga nyumba kufikia hapo bila Umma wa watanzania kujau. Haiwezekani...kuwa walijenga kwa kificho kuja kutoa suprise? Never in Bongoland! Zito ni kibaraka wa CCM, si ajabu funding yote ni kutoka CCM kama Msiba alivyokuwa anafadhiliwa na Magufuli kwenye magazeti yake and harakati zake
 
Kama adui hafanyi vizuri si ndio safi mnakaa kimya ili ajifie. Adui anakufa halafu mnasikitika tena. Sasa Chadema kama hawana ofisi nzuri si ndio vizuri ili CDM ife mbaki nyie.
Pilipili ya shamba................
 
Kiukweli chama ngazi ya taifa wanapaswa kujenga ofisi inayoendana na hadhi ya makao makuu na si vingine

Haya majibu sijui eti sio kipaumbele ofisi ,sijui ACT wamefadhiliwa na CCM mara ooh mali ya Maalim ,hapana

Tuwe wakweli kwa kauli au majibu haya yatapelekea ngazi za chini hususani kuanzia mkoa kushuka chini hadi msingi na wao watasema kipaumbele chao ni kuwa na wanachama na wanaachana na shughuli za kuratibu ujenzi wa ofisi zao kwa kukatishwa tamaa na kauli za viongozi wa kitaifa.

Kwa sasa harakati za ujenzi wa ofisi za kata na wilaya umepamba moto lakini kwa majibu mepesi kama haya nafikili na zenyewe zitasimama
 
Lakn pale kenya chama kinashika ikulu na mpaka kinaondoka madarakani haukuna chama kinachofanikiwa kuwa na jengo ila ofisi wanazo.
 
Hivi mkuu unafikili ni kwa nini chama kinaamua kujenga hizo ofisi ? Hivi kile kituo cha kukusanyia matokeo kungelikuwepo na ofisi ya maana wangelienda hoteleni ? Na wengelivungwa na kukamatwa na polisi ? Nakumbushia uchaguzi 2015

Siasa za Kenya sio kama za kwetu Tanzania. Na utofauti huu unaletwa na elimu ,aliyeelimika hayumbishwi na visababu vya ajabu ajabu zaidi wanajikita kwenye sera
 
Hata kama wangejenga bado wangevamiwa na kuporwa hivyo vishikwambi vyao.Tuanze na serikali, kuna ofisi kibao inapanga kwenye ubalozi huko nje ndio usiseme je wana miaka mingapi madarakani? mbona hujawahi kuilalamikia serikali kwa matumizi mabaya ya kodi yako.
 
Ikiwa na sisi CHADEMA tunajipima kupitia madhaifu ama makosa ya serikali huoni tunakosa uhalali wa kukosa yale ambayo serikali wanashindwa kuyatimiza

Kiukweli tunatia aibu kwa kukosa ofisi ya hadhi ya makao makuu

Hakuna kipindi kama 2015 hadi 2020 chama kingeliwekeza kwenye ujenzi tungelifaulu tena kwa asilimia mia zote

Tumebakiza maneno matupu kama ilivyo CCM na serikali kwa ujumla
 
Chadema watajenga ofisi ya makao makuu pale watakapoona wakati umefika kufanya hivyo.sio lazima wafanye vile watu wanavyotaka kwasababu chama hakitendi kwa matakwa ya watu kutoka nje bali kwa mipango na maazimio ya vikao vyakichama.Muda wakujenga ofisi bado upo sana kwasababu Chadema haifi leo.Ata kesho ni siku.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom