Man from cuba
JF-Expert Member
- May 2, 2021
- 571
- 1,394
Niliona chadema makambako wakiwa bize kujenga ofisi ya kisasa nikajiuliza je CDM makao makuu hawalioni hilo???? Pesa ngapi wanazochangisha wanachama wao pesa ngp wanapata kutoka kwa wafadhili wao hii ni aibu ACT wamewavua nguo chutameni.huu uongo wa kina lema utakuja kufika mwisho na wanachama wenu watawachoka kila mtu anapenda sifa kila mwanachadema anatamani afike HQ apige picha sasa nani atapiga picha hapo getoni
CUF walisha itumiaga kama offisi, hio ni nyumba ya ya mtu binafisiView attachment 2402131
Chama cha ACT-Wazalendo kinazindua ofisi yake mpya ya Makao Makuu iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam.
Bila kujali walipataje ofisi,lakini ACT wamepata ofisi nzuri yenye hadhi. Sasa wametaje ofisi hiyo ni mada nyingine kabisa.
ACT kupata ofisi kiujanja ujanja sio sababu ya nyie kutokuwa na Ofisi Kali. Ofisi ya sasa hailingani na hadhi na umri wa chama. Ni sawa na dingi anayeishi kwenye nyumba ya kupanga.
Oneni aibu jengeni ofisi bwana.
View attachment 2402155
Nami nikija Dar nitaenda kushangaa ofisi ya ACT
We pimbia kuna Mashirika yana pesa za kufa mtu na wamepanga, Wahindi wamepanga, Kuwa na Offisi si kwamba ndio tija, CCM ina offisi kila wilaya je hizo offisi zao zimesaidia vipi kupunguza umasikini?Niliona chadema makambako wakiwa bize kujenga ofisi ya kisasa nikajiuliza je CDM makao makuu hawalioni hilo???? Pesa ngapi wanazochangisha wanachama wao pesa ngp wanapata kutoka kwa wafadhili wao hii ni aibu ACT wamewavua nguo chutameni.huu uongo wa kina lema utakuja kufika mwisho na wanachama wenu watawachoka kila mtu anapenda sifa kila mwanachadema anatamani afike HQ apige picha sasa nani atapiga picha hapo getoni
Hiki ndio kinafanya Chadema isijenge ofisi?CUF walisha itumiaga kama offisi, hio ni nyumba ya ya mtu binafisi
na baba yako ambaye ni CC ya ACTUmeambiwa na Lema? Wanakupumbazeni ili waendelee kuwatumia, atarudi 2025 aje umpigie tena kura awe mbunge.
Wanasema ofisi wao wametawanya nchi nzima, sio vizuri kua na mjengo mkubwa sehem 1View attachment 2402131
Chama cha ACT-Wazalendo kinazindua ofisi yake mpya ya Makao Makuu iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam.
Bila kujali walipataje ofisi,lakini ACT wamepata ofisi nzuri yenye hadhi. Sasa wametaje ofisi hiyo ni mada nyingine kabisa.
ACT kupata ofisi kiujanja ujanja sio sababu ya nyie kutokuwa na Ofisi Kali. Ofisi ya sasa hailingani na hadhi na umri wa chama. Ni sawa na dingi anayeishi kwenye nyumba ya kupanga.
Oneni aibu jengeni ofisi bwana.
View attachment 2402155
Nami nikija Dar nitaenda kushangaa ofisi ya ACT
Mhm haya huku ngoja niheshimu tu maoni yako maana leo tunakipiga kutafuta point tatu muhimuView attachment 2402131
Chama cha ACT-Wazalendo kinazindua ofisi yake mpya ya Makao Makuu iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam.
Bila kujali walipataje ofisi,lakini ACT wamepata ofisi nzuri yenye hadhi. Sasa wametaje ofisi hiyo ni mada nyingine kabisa.
ACT kupata ofisi kiujanja ujanja sio sababu ya nyie kutokuwa na Ofisi Kali. Ofisi ya sasa hailingani na hadhi na umri wa chama. Ni sawa na dingi anayeishi kwenye nyumba ya kupanga.
Oneni aibu jengeni ofisi bwana.
View attachment 2402155
Nami nikija Dar nitaenda kushangaa ofisi ya ACT
It is not a grant, ACT does not own the building, they are leasing or using it for free, but the premises, the land belongs to the beneficiaries of Maalim!grant
Tukutane saa 1 😂😂😂Mhm haya huku ngoja niheshimu tu maoni yako maana leo tunakipiga kutafuta point tatu muhimu
What is your argument anyway? Kila Chama kina priority zaek. You and ACT priority yenu ni majengo "mazuri", CDM not now!Hiki ndio kinafanya Chadema isijenge ofisi?
Leo game ni letuTukutane saa 1 [emoji23][emoji23][emoji23]
Lakn pale kenya chama kinashika ikulu na mpaka kinaondoka madarakani haukuna chama kinachofanikiwa kuwa na jengo ila ofisi wanazo.Kiukweli chama ngazi ya taifa wanapaswa kujenga ofisi inayoendana na hadhi ya makao makuu na si vingine
Haya majibu sijui eti sio kipaumbele ofisi ,sijui ACT wamefadhiliwa na CCM mara ooh mali ya Maalim ,hapana
Tuwe wakweli kwa kauli au majibu haya yatapelekea ngazi za chini hususani kuanzia mkoa kushuka chini hadi msingi na wao watasema kipaumbele chao ni kuwa na wanachama na wanaachana na shughuli za kuratibu ujenzi wa ofisi zao kwa kukatishwa tamaa na kauli za viongozi wa kitaifa.
Kwa sasa harakati za ujenzi wa ofisi za kata na wilaya umepamba moto lakini kwa majibu mepesi kama haya nafikili na zenyewe zitasimama
Lakn pale kenya chama kinashika ikulu na mpaka kinaondoka madarakani haukuna chama kinachofanikiwa kuwa na jengo ila ofisi wanazo.
Hata kama wangejenga bado wangevamiwa na kuporwa hivyo vishikwambi vyao.Tuanze na serikali, kuna ofisi kibao inapanga kwenye ubalozi huko nje ndio usiseme je wana miaka mingapi madarakani? mbona hujawahi kuilalamikia serikali kwa matumizi mabaya ya kodi yako.Hivi mkuu unafikili ni kwa nini chama kinaamua kujenga hizo ofisi ? Hivi kile kituo cha kukusanyia matokeo kungelikuwepo na ofisi ya maana wangelienda hoteleni ? Na wengelivungwa na kukamatwa na polisi ? Nakumbushia uchaguzi 2015
Siasa za Kenya sio kama za kwetu Tanzania. Na utofauti huu unaletwa na elimu ,aliyeelimika hayumbishwi na visababu vya ajabu ajabu zaidi wanajikita kwenye sera
Ikiwa na sisi CHADEMA tunajipima kupitia madhaifu ama makosa ya serikali huoni tunakosa uhalali wa kukosa yale ambayo serikali wanashindwa kuyatimizaHata kama wangejenga bado wangevamiwa na kuporwa hivyo vishikwambi vyao.Tuanze na serikali, kuna ofisi kibao inapanga kwenye ubalozi huko nje ndio usiseme je wana miaka mingapi madarakani? mbona hujawahi kuilalamikia serikali kwa matumizi mabaya ya kodi yako.