Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Hawawezi kushindana na CHADEMAChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini kimelaani vikali kitendo cha uvamizi na uharibifu ulioelezwa na kuonekana kutokea katika ofisi ya chama hicho Jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro, usiku wa kuamkia tarehe 20 Oktoba 2026.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Idara ya Habari ya CHADEMA Kanda ya Kaskazini kupitia kwa Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Yohana Kaunya, watu wasiojulikana wameivamia ofisi hiyo, wakafanya uharibifu, wakapaka rangi na kufuta maandishi yaliyokuwa katika jengo hilo yenye ofisi hiyo iliyozinduliwa rasmi hivi karibuni na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche.
"Kitendo hiki ni cha kulaaniwa na hakipaswi kuvumiliwa katika jamii inayozingatia misingi ya amani, demokrasia, utawala wa sheria na kuheshimu haki za wengine", ameeleza Kaunga.
Soma Pia: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche atahutubia Jimbo la Hai, Bomang'ombe
Ameongeza kuwa tofauti za kisiasa hazipaswi kuwa sababu ya mtu au kikundi chochote kujichukulia sheria mkononi, kuharibu mali za wengine, au kuzuia shughuli halali za vyama vya siasa.
Akili za viongozi wa CCM hizoChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini kimelaani vikali kitendo cha uvamizi na uharibifu ulioelezwa na kuonekana kutokea katika ofisi ya chama hicho Jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro, usiku wa kuamkia tarehe 20 Oktoba 2026.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Idara ya Habari ya CHADEMA Kanda ya Kaskazini kupitia kwa Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Yohana Kaunya, watu wasiojulikana wameivamia ofisi hiyo, wakafanya uharibifu, wakapaka rangi na kufuta maandishi yaliyokuwa katika jengo hilo yenye ofisi hiyo iliyozinduliwa rasmi hivi karibuni na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche.
"Kitendo hiki ni cha kulaaniwa na hakipaswi kuvumiliwa katika jamii inayozingatia misingi ya amani, demokrasia, utawala wa sheria na kuheshimu haki za wengine", ameeleza Kaunga.
Soma Pia: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche atahutubia Jimbo la Hai, Bomang'ombe
Ameongeza kuwa tofauti za kisiasa hazipaswi kuwa sababu ya mtu au kikundi chochote kujichukulia sheria mkononi, kuharibu mali za wengine, au kuzuia shughuli halali za vyama vya siasa.
Akili za viongozi wa CCMChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini kimelaani vikali kitendo cha uvamizi na uharibifu ulioelezwa na kuonekana kutokea katika ofisi ya chama hicho Jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro, usiku wa kuamkia tarehe 20 Oktoba 2026.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Idara ya Habari ya CHADEMA Kanda ya Kaskazini kupitia kwa Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Yohana Kaunya, watu wasiojulikana wameivamia ofisi hiyo, wakafanya uharibifu, wakapaka rangi na kufuta maandishi yaliyokuwa katika jengo hilo yenye ofisi hiyo iliyozinduliwa rasmi hivi karibuni na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche.
"Kitendo hiki ni cha kulaaniwa na hakipaswi kuvumiliwa katika jamii inayozingatia misingi ya amani, demokrasia, utawala wa sheria na kuheshimu haki za wengine", ameeleza Kaunga.
Soma Pia: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche atahutubia Jimbo la Hai, Bomang'ombe
Ameongeza kuwa tofauti za kisiasa hazipaswi kuwa sababu ya mtu au kikundi chochote kujichukulia sheria mkononi, kuharibu mali za wengine, au kuzuia shughuli halali za vyama vya siasa.
Mbingu ipi, labda ile ya MorogoroHuenda Jehanamu ni CHADEMA.Wanapitia Mateso makali.Kiongozi mmoja wa CCM kule Njombe aliwahi kutamuka kwamba ukiwa CCM uhakika wa kwenda Mbinguni ni 100%
Chauma ya dalali mbowe hao wametumwa na waume zao maccmHaikuwa na mlinzi?
Amandla...
Joyce Mukya hujambo?Haikuwa na mlinzi?
Amandla...
Ilitakiwa baada ya hicho kitendo tusikie ya sisiemu imechomwa moto kabisa jino kwa jino weka panga niweke shoka ubaya ubwelaSio "wasiojulikana" hao wanajulikana vizuri na aliyewatuma ameshawagawia posho yao kwa kazi aliyowatuma.
Kuna siku mtakuja kusema sasa kweli tumeumizana na tunaweza sasa kukaa kuridhiana ila ni mpaka kila upande ukija una plaster na bandage mezani hapo ndio tutapata maridhiano ya kweli ila kwa sasa ni ngumu upande mmoja unaumizwa mwingie wanacheka wakiamini wao wako salama daima.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini kimelaani vikali kitendo cha uvamizi na uharibifu ulioelezwa na kuonekana kutokea katika ofisi ya chama hicho Jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro, usiku wa kuamkia tarehe 20 Oktoba 2026.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Idara ya Habari ya CHADEMA Kanda ya Kaskazini kupitia kwa Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Yohana Kaunya, watu wasiojulikana wameivamia ofisi hiyo, wakafanya uharibifu, wakapaka rangi na kufuta maandishi yaliyokuwa katika jengo hilo yenye ofisi hiyo iliyozinduliwa rasmi hivi karibuni na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche.
"Kitendo hiki ni cha kulaaniwa na hakipaswi kuvumiliwa katika jamii inayozingatia misingi ya amani, demokrasia, utawala wa sheria na kuheshimu haki za wengine", ameeleza Kaunga.
Soma Pia: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche atahutubia Jimbo la Hai, Bomang'ombe
Ameongeza kuwa tofauti za kisiasa hazipaswi kuwa sababu ya mtu au kikundi chochote kujichukulia sheria mkononi, kuharibu mali za wengine, au kuzuia shughuli halali za vyama vya siasa.
Halafu bado wanaitaka CHADEMA kwenye maridhiano yaani kuna binadamu wengine akili zao zimejaa tope, CHADEMA sio jengo ni itikadi ya watu. Siasa za kishamba sana hizi
Hii ndo solution yenyewe. Kama unaumia upande mmoja tu na wengine wanachekelea wataendelea kuumiza wengi zaidi.Sio "wasiojulikana" hao wanajulikana vizuri na aliyewatuma ameshawagawia posho yao kwa kazi aliyowatuma.
Kuna siku mtakuja kusema sasa kweli tumeumizana na tunaweza sasa kukaa kuridhiana ila ni mpaka kila upande ukija una plaster na bandage mezani hapo ndio tutapata maridhiano ya kweli ila kwa sasa ni ngumu upande mmoja unaumizwa mwingie wanacheka wakiamini wao wako salama daima.
Mbowe ni mwanaccmHiki ndicho wanachotaka waliofanya hivyo.
Mpigane wenyewe kwa wenyewe. Mnagombanishwa na wa nje ya chama.
Walijua mtamshambulia Mbowe kisha watu wake watajibu mapigo. Kube siyo yeye aliyetoa Mari ya uharibifu huo.
Kwa hiyo hiyo ndiyo iwe sababu ya kuharibiwa ofisi?Haikuwa na mlinzi?
Amandla...
😂🤣🤣🤣Mbingu ipi, labda ile ya Morogoro