Ofisi ya CHADEMA Hai, iliyozinduliwa na John Heche yaharibiwa na watu wasiojulikana

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini kimelaani vikali kitendo cha uvamizi na uharibifu ulioelezwa na kuonekana kutokea katika ofisi ya chama hicho Jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro, usiku wa kuamkia tarehe 20 Oktoba 2026.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Idara ya Habari ya CHADEMA Kanda ya Kaskazini kupitia kwa Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Yohana Kaunya, watu wasiojulikana wameivamia ofisi hiyo, wakafanya uharibifu, wakapaka rangi na kufuta maandishi yaliyokuwa katika jengo hilo yenye ofisi hiyo iliyozinduliwa rasmi hivi karibuni na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche.

"Kitendo hiki ni cha kulaaniwa na hakipaswi kuvumiliwa katika jamii inayozingatia misingi ya amani, demokrasia, utawala wa sheria na kuheshimu haki za wengine", ameeleza Kaunga.

Soma Pia: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche atahutubia Jimbo la Hai, Bomang'ombe

Ameongeza kuwa tofauti za kisiasa hazipaswi kuwa sababu ya mtu au kikundi chochote kujichukulia sheria mkononi, kuharibu mali za wengine, au kuzuia shughuli halali za vyama vya siasa.

Hawawezi kushindana na CHADEMA
 
Huenda Jehanamu ni CHADEMA.Wanapitia Mateso makali.Kiongozi mmoja wa CCM kule Njombe aliwahi kutamuka kwamba ukiwa CCM uhakika wa kwenda Mbinguni ni 100%
 
Akili za viongozi wa CCM hizo
 
Halafu bado wanaitaka CHADEMA kwenye maridhiano yaani kuna binadamu wengine akili zao zimejaa tope, CHADEMA sio jengo ni itikadi ya watu. Siasa za kishamba sana hizi
 
Akili za viongozi wa CCM
 
Polisi wanasemaje walinda amani wetu.

Yule aliyeandika kwenye ukuta wa ccm Dodoma alipatikana ndani ya nusu saa tu, hawa wa Hai bado wanaitwa wasiojulikana hadi sasa
 
Sio "wasiojulikana" hao wanajulikana vizuri na aliyewatuma ameshawagawia posho yao kwa kazi aliyowatuma.

Kuna siku mtakuja kusema sasa kweli tumeumizana na tunaweza sasa kukaa kuridhiana ila ni mpaka kila upande ukija una plaster na bandage mezani hapo ndio tutapata maridhiano ya kweli ila kwa sasa ni ngumu upande mmoja unaumizwa mwingie wanacheka wakiamini wao wako salama daima.
 
Huenda Jehanamu ni CHADEMA.Wanapitia Mateso makali.Kiongozi mmoja wa CCM kule Njombe aliwahi kutamuka kwamba ukiwa CCM uhakika wa kwenda Mbinguni ni 100%
Mbingu ipi, labda ile ya Morogoro
 
Huko Hai,bila Mbunge wa sasa kufa! Hakuatatokea amani huko,mwisho wa siku,watachoma nyumbani kwake!
 
Sio "wasiojulikana" hao wanajulikana vizuri na aliyewatuma ameshawagawia posho yao kwa kazi aliyowatuma.

Kuna siku mtakuja kusema sasa kweli tumeumizana na tunaweza sasa kukaa kuridhiana ila ni mpaka kila upande ukija una plaster na bandage mezani hapo ndio tutapata maridhiano ya kweli ila kwa sasa ni ngumu upande mmoja unaumizwa mwingie wanacheka wakiamini wao wako salama daima.
Ilitakiwa baada ya hicho kitendo tusikie ya sisiemu imechomwa moto kabisa jino kwa jino weka panga niweke shoka ubaya ubwela
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini kimelaani vikali kitendo cha uvamizi na uharibifu ulioelezwa na kuonekana kutokea katika ofisi ya chama hicho Jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro, usiku wa kuamkia tarehe 20 Oktoba 2026.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Idara ya Habari ya CHADEMA Kanda ya Kaskazini kupitia kwa Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Yohana Kaunya, watu wasiojulikana wameivamia ofisi hiyo, wakafanya uharibifu, wakapaka rangi na kufuta maandishi yaliyokuwa katika jengo hilo yenye ofisi hiyo iliyozinduliwa rasmi hivi karibuni na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche.

"Kitendo hiki ni cha kulaaniwa na hakipaswi kuvumiliwa katika jamii inayozingatia misingi ya amani, demokrasia, utawala wa sheria na kuheshimu haki za wengine", ameeleza Kaunga.

Soma Pia: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche atahutubia Jimbo la Hai, Bomang'ombe

Ameongeza kuwa tofauti za kisiasa hazipaswi kuwa sababu ya mtu au kikundi chochote kujichukulia sheria mkononi, kuharibu mali za wengine, au kuzuia shughuli halali za vyama vya siasa.

Ni ROUGH za CCM tu hizo. Hata kama watajifanya hauhusiki ...!!
 
Halafu bado wanaitaka CHADEMA kwenye maridhiano yaani kuna binadamu wengine akili zao zimejaa tope, CHADEMA sio jengo ni itikadi ya watu. Siasa za kishamba sana hizi

Hayo maridhiano wanayasema tu wakiwa kwenye makongamano.

Mpaka sasa hakuna evidence yeyote ya kimaandishi kuonyesha kuwa Chadema waliitwa kwenye maridhano either na serikali, chombo cha serikali au CCM halafu wakakataa. Hawa jamaa wana mpango yao ya chinichini ..... ikishindikana ndiyo watakwenda kwenye hayo maridhiano. Kwa sasa wanatumia tricks tu za kuvuta time.
 
Sio "wasiojulikana" hao wanajulikana vizuri na aliyewatuma ameshawagawia posho yao kwa kazi aliyowatuma.

Kuna siku mtakuja kusema sasa kweli tumeumizana na tunaweza sasa kukaa kuridhiana ila ni mpaka kila upande ukija una plaster na bandage mezani hapo ndio tutapata maridhiano ya kweli ila kwa sasa ni ngumu upande mmoja unaumizwa mwingie wanacheka wakiamini wao wako salama daima.
Hii ndo solution yenyewe. Kama unaumia upande mmoja tu na wengine wanachekelea wataendelea kuumiza wengi zaidi.
 
Hiki ndicho wanachotaka waliofanya hivyo.
Mpigane wenyewe kwa wenyewe. Mnagombanishwa na wa nje ya chama.
Walijua mtamshambulia Mbowe kisha watu wake watajibu mapigo. Kube siyo yeye aliyetoa Mari ya uharibifu huo.
Mbowe ni mwanaccm
 
Back
Top Bottom