Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Polisi huwa hawajishughulishi na mambo ya ChademaHakuna kitu kinachouma katika maisha kama kupoteza nyaraka au data classified documents. Yalihusika katika hilo tukio yakamatwe mara moja
Wakamatwe na nani wakati waliochoma na wakamataji ni ndugu baba mmoja na mama mmoja .Hukumsikia mchungaji was akisema ni matukio ya kawaida hutokea kila cku Kwa hivyo litashughulikiwa kama linavyoshughulikiwa kesi ya lissu.Hakuna kitu kinachouma katika maisha kama kupoteza nyaraka au data classified documents. Yalihusika katika hilo tukio yakamatwe mara moja
Umemalizahakuna moto wowote chini ya jua hili unaweza kukiunguza CHADEMA kikateketea.
Hawawezi kukamatwa na polisi failure, wengi wanatokea uvccmHakuna kitu kinachouma katika maisha kama kupoteza nyaraka au data classified documents. Yalihusika katika hilo tukio yakamatwe mara moja