Ofisi ya CHADEMA Jimbo la Tunduma yapigwa kiberiti na watu Wasiojulikana, nyaraka zateketea

Hakuna kitu kinachouma katika maisha kama kupoteza nyaraka au data classified documents. Yalihusika katika hilo tukio yakamatwe mara moja
Ngoja tuone polisi watashughurikia hili kikamilifu?
Huu ndy mwanzo wa umwagaji damu,maana chadema wakijibu mapigo kwa kuchoma majingo ya ccm
Kitakachofuata kuviziana binaadam

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Poleni sana kwa janga hilo la kuunguliwa ofisi.

Lakini mkuu, mmejuaje kuwa nyaraka za thamani ya juu zimeibwa na sio kuteketea?
 
Ngoja tuone polisi watashughurikia hili kikamilifu?
Huu ndy mwanzo wa umwagaji damu,maana chadema wakijibu mapigo kwa kuchoma majingo ya ccm
Kitakachofuata kuviziana binaadam

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
WAJARIBU WAONE KUCHOMA OFISI ZA CCM WATATAMBAA CHINI KAMA NYOKA HIZO KIKI ZAO ZA KIJINGA WALA HATA POLISIHAWAHANGAIKI NAZO WAENDELEE KUYACHOMA TYU MABANDAYAO MPAKA YAISHE
 
Mambo mengine Chadema huwa ni yakujitakia ,wanachama wanashindwaje kuzilinda hizo ofisi nchi nzima?
 
Kuna watu waliasisi hizi siasa za chuki, hao wana hukumu wao pamoja na vizazi vyao kulaanika. Mwenyezi Mungu amewapa thawabu wapatanishi tu lakini kawalaani wanaoleta chuki na kupanda mbegu za uadui. MT. 5:9
 
Huyu Mama ni shetani kabisa, haya mambo tulidhani mwendazake ndio alikuwa engineer kumbe ni udhaifu na tamaa ya madaraka. Inasikitisha sana.
hapo utaambiwa upepelezi unaendelea miaka 5, then business as usual. ni kweli kwa sasa uonevu umepita kipimo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…