KATIBA MPYA ndio pekee itakayopunguza UHUNI wa CCM na pengine kuwafurusha kabisa nje ya madaraka, uzuri wanalijua hilo ndio sababu ya hizi SARAKASI..hapo utaambiwa upepelezi unaendelea miaka 5, then business as usual. ni kweli kwa sasa uonevu umepita kipimo.
Kwa ujinga ule alisema simbachewene bado kuna wapuuzi wapo vyuo kikuu wanaipigania ccm????Kuanzia sasa tutawasifia kama anavyowasifia Simbachawene
Ni rahisi kujua ziliko kwani CCM watazitumia tu.Hakuna kitu kinachouma katika maisha kama kupoteza nyaraka au data classified documents. Yalihusika katika hilo tukio yakamatwe mara moja
Kwani UMagufuli wa kuifuta CHADEMA umeisha huko CCM..?!Labda ni magufuli kawatuma,
Si ndo mlikuwa mnamsingizia wakati mnachoma wenyewe.
Wewe akili zako zinakutosha mwenyewe. Avatar yako na mawazo yako hakuna boss hapo. Maku mkubwa.Chadema ni wezi wameshaibiana wanapoteza ushahidi hapo sasa mtu ambaye hahusiki achome ofisi ya nini? Chadema ni genge la wahuni washaibiana huko
Ukiandika hivi tayari na CHADEMA imefutika Tunduma si ndio ehee..?!Chadema ni wezi wameshaibiana wanapoteza ushahidi hapo sasa mtu ambaye hahusiki achome ofisi ya nini? Chadema ni genge la wahuni washaibiana huko
Ni muendelezo wa UMagufuli, tunaifuta CHADEMA Tunduma. CCM wamekwama na mbinu zao za kizamani.Jambo hili la kusikitisha limefanyika usiku wa kuamkia leo, ambapo watu wasiofahamika wamelipua ofisi hiyo na kisha kutokomea kusikofahamika, nyaraka kadhaa za Chama hicho zimeteketea na nyingine zenye thamani kubwa zimeibwa.
Ikumbukwe pia kwamba Viongozi wa Chadema zaidi ya 50 wa Tunduma wamerudikwa rumande kwa zaidi ya mwaka kutokana na visasi vya kisiasa.
Mungu ibariki Chadema
Uzoefu wangu kwa haya mambo ni jino kwa jino ndio solution mwisho wa siku wanaomba poo wakichoma ya chadema moja nyie mnachoma vituo vya polisi 2 na ofisi ya ccm moja.Watanzania tuwe wavumilivu tusilipize kisasi Wenye husada na wajinga Wanapungua.
Aibu kubwa sana !Ni muendelezo wa UMagufuli, tunaifuta CHADEMA Tunduma. CCM wamekwama na mbinu zao za kizamani.
Bavicha na Sanaa tumewazoeeni. Mnatengeneza matukio kisha mnatafuta huruma. Zama hizo hazipo tena.Jambo hili la kusikitisha limefanyika usiku wa kuamkia leo, ambapo watu wasiofahamika wamelipua ofisi hiyo na kisha kutokomea kusikofahamika, nyaraka kadhaa za Chama hicho zimeteketea na nyingine zenye thamani kubwa zimeibwa.
Ikumbukwe pia kwamba Viongozi wa Chadema zaidi ya 50 wa Tunduma wamerudikwa rumande kwa zaidi ya mwaka kutokana na visasi vya kisiasa.
Mungu ibariki Chadema
Sasa michezo yenu Police washughulike kwa lipi?Polisi huwa hawajishughulishi na mambo ya Chadema
Huna hoja mkuuBavicha na Sanaa tumewazoeeni. Mnatengeneza matukio kisha mnatafuta huruma. Zama hizo hazipo tena.
Kwa Sababu unaijua michezo yenuHuna hoja mkuu
Ungeendelea kutupa takwimu mbalimbali za vitu anavyoleta Rais.Usisahau idadi ya kondom zitakazogawiwa.Naona mmetengeza tukio wakuu,
Hongera sana ila janja yenu inajulikana,
#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
Mungu ibariki CHADEMA... Kukichwa kutapambazuka.. Lakini kabla jua kuchomoza kiza huwa kineneJambo hili la kusikitisha limefanyika usiku wa kuamkia leo, ambapo watu wasiofahamika wamelipua ofisi hiyo na kisha kutokomea kusikofahamika, nyaraka kadhaa za Chama hicho zimeteketea na nyingine zenye thamani kubwa zimeibwa.
Ikumbukwe pia kwamba Viongozi wa Chadema zaidi ya 50 wa Tunduma wamerudikwa rumande kwa zaidi ya mwaka kutokana na visasi vya kisiasa.
Mungu ibariki Chadema
we mbumbumbu tulia hujui kitu kuhusu siasa za tz, unaendeshwa na mihemko tu.Acha ujinga wewe. Na ile gari ya mbunge wa ccm aliichoma mwenyewe ili apate kiki za kisiasa